PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Friday, December 29, 2017

FAITH GRADUATION 2017....

Hi dears,
Image may contain: food
As the year 2017 ends, leo kipekee kabisa nimshukuru Mungu for 2017... Maana pamoja na 2017th kuwa na mapurukushani mengi pia kunayo mengiii mno ya kushukuru, I am thank full for 2017.... 
 Image may contain: 1 person
Thank you Jesus for 2017!!!

Image may contain: 1 person, child and closeup
Na kubwa zaidi la kumshukuru Mungu about 2017 ni kwa mwanangu Faith ku'graduate...hatimaye my baby girl gonna start standard one in 2018... Dah, ni jambo kubwaaa mno hili katika safari yetu(mama na Faith) hii ya kusoma, maana kama umetufatilia from the start jamani Faith wangu ameshasoma a lotttt of schools, na hivi alianza shule mdogo basi ndio kazzziii kweli kweliii... 
Lot's of the time nilikuwa(still nipo ivo) najilaumu kuwa mapenzi yangu kwa Faith ni too much hadi nashindwa kum'treat ki'umama zaidi... maana ilikuwa nikimpeleka shule akinililia tuu naahirisha, naondoka nae... na hata nilikuwa nikifanikiwa kumuacha shuleni basi siku tuu akilalamika anythinggggg aiseee kikinikera siku iyo ndio inakuwa mwisho wa kwenda iyo shule... Dah, kiukweli haikuwa kazin rahisi...
Niwashukuru pia walimu na management yote ya Hyperlink schools of Tanzania, kiukweli bila jitihada,mapenzi na malezi yenu bora sana kwa mwanangu nadhani mpaka sasa Faith wangu angekuwa tuu bado ana'randa randa na kuhamishwa shule kila siku... Mlimpokea, mkamlea na kumfundisha kwa matakwa yangu binafsi...hata pale nilipokuwa navuka mipaka mlinivumilia maana mlinielewa huyu mtoto ni moyo wangu...mkaenda nae taratibu na mpaka sasa Faith wangu can speak and write an excellent english and kishwahili pia, jamani sina cha kuwalipa...Mungu ninayemtumaini awabariki na kuendelea kuwaongoza zaidiiii...
Image may contain: 4 people
And to my baby girl Faith, kipenzi wa moyo wangu, shoga'angu wa ukweli, the one and only... you have always made me and your dad proud, haswa haswa mimi...i am so proud of you darling-love... veryyy proud... Najiona kama mimi mwenyewe dunia nzima ndiye mama mwenye mtoto mwerevu, mrembo, smart and genius kuliko woteeee...yesss,that's how you make me feel...
Nakupenda sana mwanangu, na namuomba Mungu usiku na mchana for you, and your brother ofcoz...
Namuomba Mungu anikuzie na kunisaidia kuwalea katika malezi sahihi yanayompendeza yeye... mkawe vichwa always, kamwe msiwe mikia... 
Mkakubalike kila kona ya dunia hii na Mbinguni... Mkapendwe na wakubwa na wadogo, nyie muwe nyota usiku na jua mchana...muwe hewa ambayo kila mtu anaihitaji ili aweze kuishi...muwe zaidi ya maji ambayo ni uhai kwa kila kiumbe... those all and more!!   
Image may contain: 1 person 
 Image may contain: 2 people, people standing and closeup
Image may contain: 2 people, people standing
 
 I adore and love you Faith wangu... I wish ukuwe into a veryyy fine-lady ambaye utakuwa na heshima kwa watu woteeee bila kujali umri, kipato, dini, kabila na lolote... Uwapende maskini na matajiri mwanangu maana kwenye hii dunia hujui nani kesho atakustiri...

Pamoja na yote hayo mama'angu Faith..keep be the strongest girl i made you to be, always hakikisha you get what you want no matter what...usiruhusu yoyote akukatishe tamaa wala kukurudisha nyuma... Usikubali kuonewa na usimuonee mtu unless awe amekuanza, make your moves bravely...and always remember kuwa i got your back...kwa lolote na kwa chochoteee mama is here for you baby...
Image may contain: 2 people, people smiling, selfie and closeup

Image may contain: 2 people, people smiling, selfie and closeup
Image may contain: 2 people, selfie and closeup
Image may contain: 2 people, people smiling, selfie and closeup
Image may contain: 2 people, selfie and closeup
 And pamoja na yote baby girl, keep be the fashionista you are always!!! You are my little'diva...always remember that my cute baby Faith
Image may contain: 2 people, people standing
Image may contain: 2 people, people standing and shoes
Live your life, be a happy soul and alwayssss celebrate life...
Hata when life gives you a hundred reasons to give up, just know you have always got one-main reason to celebrate... and that's is being alive...
Celebrate life alwaysssssss... Pop them Champagne forever!!!
Poping up the champagnes baby girl... 
Celebrate life forever!!!! 
 
Image may contain: 1 person, closeup
And if anybody asks you questions, just say i learnt from the best, maana your mama got it all!!!


Love, mama Faith!!!
XOXO... 

Wednesday, December 27, 2017

''OUTINGS''

Hey,

One thing you all know about me ni kuwa i am a proud mama...yessss, hiyo haina ubishi yaani nio too proud na wanangu... na leo Faith kanifanya niwe more proud na kuzidi kujipenda na kupenda ''the mama'' i am to my babies...
 Image may contain: 1 person, outdoor and nature
Fred, Faith and Tina...
My babies!!
Image may contain: outdoor
Image may contain: bird and outdoor 
Image may contain: 2 people, people standing, child, shoes and outdoor
Image may contain: one or more people and people standing
Don't mind ''minyoosho'' hair-style ya Faith, mama is still learning to do ''minyoosho'' bombaaa zaidi...
Image may contain: one or more people, people standing and outdoor 
Image may contain: 1 person, selfie, closeup and outdoor
Image may contain: 1 person, selfie and closeup
Image may contain: 1 person, selfie and closeup
Image may contain: outdoor
The short story is... Nimekuwa busy sana hizi siku mbili tatu kiasi kwamba i had to work hadi on Christmas day, si mnajua tena Uchagga haujawahi niachaga salama...hahahaaa, so asubuhi tuu tulijumuika wote kanisani then we had breakfast pamoja then mie huyooo kutafuta pesa... so they stay home all day long watching movies and cartoons... Jioni nilivyorudi home niliwakuta wapo very happy, but nikajipendekeza eti kuwaomba msamaha sijawatoa ''out'' on Chritmass... Hapo ndipo nilipokuwa too proud, wanangu waliniambia it's owky, they had a great time at home na ''out'' tutatoka tuu any day nitakapokuwa sipo busy...tena Faith akaongezea kuwa they don't have to go ''out'' because of Christmass... waliongea mengi mnooo, nikagundua kumbe wanangu kwao kila siku ni sikukuu...na hawaitaji kutolewa ''out'' on sikukuu tuu coz wameshazoea kutolewa ''out'' kila siku mama akiwa free... 
Nilifurahi mnoooo... nikaona hii ndio life-style ambayo naitaka, siwezi pray for any other life-style zaidi ya hii...na'enjoy maisha yangu na wanangu...na mume wangu ofcoz!!! Hahahaaaaa
Nafurahia kuweza kuwakuza katika makuzi haya walionayo... yananifurahisha sanaaaa, najiona bongeee la mama, dah...coz most of my friends(wa'mama) walikuwa too busy kuumiza vichwa where to take their kids on Christmass, wengi wakihofia kuwa kila eneo litakuwa too crowded and watoto wao hawatawaelewa wasipowatoa ''out''....nilikuwa nawaelewa, ila sasa nimeelewa na kujifunza kumbe mie wanangu are too special eee, coz i do not have kuwa na worries kama hizo anymore...dah, i am the proudiesttttt mama ever!!!!! 

My advise is: 
It's so nice when ukiwazoesha watoto wako kutoka mara kwa mara, coz you don't have kuwatoa ''out'' kipindi cha sikukuu kisa everyone does that...
Sisemi kuwa msiwatoe watoto ''out'' on sikukuu noooo, mimi ninachomaanisha kuwa ukimzoesha mtoto ''outings'' za mara kwa mara hutakuwa na presha ya kuwaza kumtoa out,hata kama upo katika mazingira usiyoweza kumtoa ila tuu you have too, kisa ni sikukuu... 
Jamani jitahidini muwe mnawatoa watoto, pamoja na mapurukushani yoteeee ya life mjitahidi mpate hata 30min za kutoka na watoto wenu kila mwezi mara moja basi... 

And ''outing'' na watoto si lazima hata ziwe za gharama as most of you fear...maana wengine wakisikia tuu kuwatoa watoto ''out'' wanaanza kuwaza pesa... no darlings, you can do little things which count soooo big... tena kwa gharama ndogo ajabu ila una'creat unforgettable memories to your babies...

For example,the pictures you see zilikuwa za ka'outing flani iviii amazing... Mie na wanangu tulienda zetu zoo kucheck wanyama, we had some bites and drinks then tukarudi zetu nyumbani tume'enjoyyyyyy as if tulikuwa marekani..hahahahahaaa!!!
Simple like that na hapo tume'create memories za kutoshaaa...
Image may contain: 2 people 
Image may contain: 3 people, people eating, people sitting, child, closeup, indoor and food
The Simba behind Us though... 
Image may contain: one or more people, outdoor and nature
 Bye...

Enjoy the holidays,
XOXO!!!

MERRY CHRISTMASS 2017

Hi, 
Image result for merry christmas
Merry Christmas to everyone!!!
 Image may contain: 1 person, selfie and closeup
 Sincerely, pokeeni salamu za Christmass from me, my family, Gf Min Depot team and E.Zone Cosmetics team...
We really love you all so much and tunawashukuru sana kwa your loyal support, we appreciate your presence in our life... God bless you all!!!

Image result for christmas drinks decorations
From GF MIN DEPOT: Tunawaahidi kuendelea kuwapa huduma bora zaidi na uhakika wa kupata vinywaji kwa masaa 24 during this holiday season, yesss...tupo kwa ajili ya kukuhudumia na kuhakikisha hupungukiwi bali una'enjoy sikukuu yako to the maxmum!!!

Related image
FROM E.ZONE COSMETICS: Uhakika wa kuwa sop-sop,maridadi na mrembo all the time... Sikukuu yako haitakamilika bila bidhaa zetu so make sure unajipatia madiko diko amazing kabisa kutoka kwetu... Tutakupa ushauri na huduma yenye kiwango cha kimalkia, karibuni sana!!!
Image may contain: 1 person, selfie and closeup
Image result for christmas drinks decorations Related image

Image result for christmas drinks decorations

Image result for merry christmas

XOXO!!!

Tuesday, December 19, 2017

GF IN A STRESS-FREE ZONE!!!

Hellow,
Easy Tuesday mode is ON...
Karibu katika zone isiyo na ma'stress...maana hapa unasahau mapurukushani yote ya maisha...hadi madeni ukiwa hapa huyakumbuki kabisaaaaa, hahahahaaaa....
Image may contain: 1 person
Ila mnajua ni nini?! Huwa nafurahi sana nikipata feed back from you guys...Nasikia rahaaa mno, kama hapa nimetoka kuzisoma ''inbox'' na ''direct messages'' zenu nimechekaaa...
Nzuri zaidi ni how people appreciates vile sikuizi nimerudi huku, eti niwe na'post kila siku coz nawasaidia kuuona muda wa kukaa kazini unaisha haraka, hahahahahaaaa....
Mmenichekesha, ebu fanyeni kazi buanaaa, boss atawa'mind.. huku muwe mnachungulia tuu kwa mbaliii and week'end ndio muhamie... Au mambo za free WiFi za maofosini hayaa jamani, hahahahaaaaa.... Basi sauwaa!!! nawaahidi kuwepo sana tuu...mie na nyie teyna...
 
Image may contain: 2 people, selfie, indoor and closeup

Image may contain: 1 person, selfie
Image may contain: 1 person, smiling, selfie and closeup
 By the way, leo nipo Off...hizi picha nilizipiga last week ila nashangaa why nina picha nyingi sana za nusu nusu siku izi??? Sina za full kabisa yaani...and i wish mnione nikiwa full, sijui nikaanze kupiga picha now???? Hahahaaaa...nawaza tuu kwa sauti.

MakeUp By Me
Acssesories na Products zangu zote za Make-ups huwa nazinunua E.Zone Cosmetics
 
Hair By My dada (Da'Ruth wangu) it's a hand-made wig, zuriii sana especially kwa vazi la ofisini...popote anakutumia, ukihitaji nicheck kwa 0753 891 997...bei rahisiii mno!!!
 
Nawapenda sana,
XOXO!!!

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT