PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Friday, December 29, 2017

FAITH GRADUATION 2017....

Hi dears,
Image may contain: food
As the year 2017 ends, leo kipekee kabisa nimshukuru Mungu for 2017... Maana pamoja na 2017th kuwa na mapurukushani mengi pia kunayo mengiii mno ya kushukuru, I am thank full for 2017.... 
 Image may contain: 1 person
Thank you Jesus for 2017!!!

Image may contain: 1 person, child and closeup
Na kubwa zaidi la kumshukuru Mungu about 2017 ni kwa mwanangu Faith ku'graduate...hatimaye my baby girl gonna start standard one in 2018... Dah, ni jambo kubwaaa mno hili katika safari yetu(mama na Faith) hii ya kusoma, maana kama umetufatilia from the start jamani Faith wangu ameshasoma a lotttt of schools, na hivi alianza shule mdogo basi ndio kazzziii kweli kweliii... 
Lot's of the time nilikuwa(still nipo ivo) najilaumu kuwa mapenzi yangu kwa Faith ni too much hadi nashindwa kum'treat ki'umama zaidi... maana ilikuwa nikimpeleka shule akinililia tuu naahirisha, naondoka nae... na hata nilikuwa nikifanikiwa kumuacha shuleni basi siku tuu akilalamika anythinggggg aiseee kikinikera siku iyo ndio inakuwa mwisho wa kwenda iyo shule... Dah, kiukweli haikuwa kazin rahisi...
Niwashukuru pia walimu na management yote ya Hyperlink schools of Tanzania, kiukweli bila jitihada,mapenzi na malezi yenu bora sana kwa mwanangu nadhani mpaka sasa Faith wangu angekuwa tuu bado ana'randa randa na kuhamishwa shule kila siku... Mlimpokea, mkamlea na kumfundisha kwa matakwa yangu binafsi...hata pale nilipokuwa navuka mipaka mlinivumilia maana mlinielewa huyu mtoto ni moyo wangu...mkaenda nae taratibu na mpaka sasa Faith wangu can speak and write an excellent english and kishwahili pia, jamani sina cha kuwalipa...Mungu ninayemtumaini awabariki na kuendelea kuwaongoza zaidiiii...
Image may contain: 4 people
And to my baby girl Faith, kipenzi wa moyo wangu, shoga'angu wa ukweli, the one and only... you have always made me and your dad proud, haswa haswa mimi...i am so proud of you darling-love... veryyy proud... Najiona kama mimi mwenyewe dunia nzima ndiye mama mwenye mtoto mwerevu, mrembo, smart and genius kuliko woteeee...yesss,that's how you make me feel...
Nakupenda sana mwanangu, na namuomba Mungu usiku na mchana for you, and your brother ofcoz...
Namuomba Mungu anikuzie na kunisaidia kuwalea katika malezi sahihi yanayompendeza yeye... mkawe vichwa always, kamwe msiwe mikia... 
Mkakubalike kila kona ya dunia hii na Mbinguni... Mkapendwe na wakubwa na wadogo, nyie muwe nyota usiku na jua mchana...muwe hewa ambayo kila mtu anaihitaji ili aweze kuishi...muwe zaidi ya maji ambayo ni uhai kwa kila kiumbe... those all and more!!   
Image may contain: 1 person 
 Image may contain: 2 people, people standing and closeup
Image may contain: 2 people, people standing
 
 I adore and love you Faith wangu... I wish ukuwe into a veryyy fine-lady ambaye utakuwa na heshima kwa watu woteeee bila kujali umri, kipato, dini, kabila na lolote... Uwapende maskini na matajiri mwanangu maana kwenye hii dunia hujui nani kesho atakustiri...

Pamoja na yote hayo mama'angu Faith..keep be the strongest girl i made you to be, always hakikisha you get what you want no matter what...usiruhusu yoyote akukatishe tamaa wala kukurudisha nyuma... Usikubali kuonewa na usimuonee mtu unless awe amekuanza, make your moves bravely...and always remember kuwa i got your back...kwa lolote na kwa chochoteee mama is here for you baby...
Image may contain: 2 people, people smiling, selfie and closeup

Image may contain: 2 people, people smiling, selfie and closeup
Image may contain: 2 people, selfie and closeup
Image may contain: 2 people, people smiling, selfie and closeup
Image may contain: 2 people, selfie and closeup
 And pamoja na yote baby girl, keep be the fashionista you are always!!! You are my little'diva...always remember that my cute baby Faith
Image may contain: 2 people, people standing
Image may contain: 2 people, people standing and shoes
Live your life, be a happy soul and alwayssss celebrate life...
Hata when life gives you a hundred reasons to give up, just know you have always got one-main reason to celebrate... and that's is being alive...
Celebrate life alwaysssssss... Pop them Champagne forever!!!
Poping up the champagnes baby girl... 
Celebrate life forever!!!! 
 
Image may contain: 1 person, closeup
And if anybody asks you questions, just say i learnt from the best, maana your mama got it all!!!


Love, mama Faith!!!
XOXO... 

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT