PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Wednesday, July 16, 2014

WEMA SEPETU ATANGAZA MSAMAHA KWA PENNY

Umbea sunnah....
Wema Sepetu amesema baada ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’, sasa ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Namnukuu Wema  “Kwa moyo mweupe, nasema nimemsamehe Penny, hata nikikutana naye popote nitasalimiana naye kama kawaida. Nimeamua kuachana na yote, mimi ni binti wa Kiislam na nahitaji sana swaumu yangu ipokelewe vyema kwa Mungu"
Penny & Wema enzi za u'shostito....

Penny nae alifunguka: “Siwezi kusema nitamchukia Wema ila nimekubali matokeo, sina tatizo naye tena ingawa najua hatuwezi kuwa marafiki tena  kama zamani, lakini yaliyopita yameshapita.”

Maoni Yangu!!!





Kwa faida ya waliosahau hii issue; The shem darling (Chibu Dangote a.k.a Diamond Platnum) awali alikua mpenzi wa Wema while Wema na Penny wakiwa ma'shosti then yakatokea ya kutokea apo....mara shem darling akawa mpenzi na Penny..Hahahahaa.....(chezea sukari ya warembo wewee)
Diamond & Wema

Diamond & Penny

Sasa, yakatokea ya kutokea tena mara heeee!!!!watu tukaacha movie iendelee.... Wema na Diamond wakarudiana tena!!!
Mahaba ninyongeee!!!
Na movie bado inaendeleaaaaa.....
What i love!!!
Yaani kitu ninachokipenda kwenye hii issue ni how mama ake Diamond anavyowachukulia wakwe zake...Hahahahaaa... Kweli mwanao ni mwanao tuu hata akiwa jambazi wewe kwako bado mtoto mwema.... Yaani mama yeye kila anayeletwa kwake ni "Sawa baba" 
Social media zinatunga vya kutunga lakini wapiiiii, mama yeye na wakwe zake kwa raha zaooo...
Nimeipenda but am not sure if nitaiwezaga na mie... 
Penny na mama ake Diamond enzi zao...
Wema na mama ake Diamond kwa sasa...
Namalizia iviiii!!!!
Beauty is in the eyes of beholder, mie naona both Wema na Penny ni wadada warembo na wanajielewa....Since love doesnt ask why so siwezi kuwachagulia wawe na nani ila nadhani hawakua na haja ya kuwa na beef between them and uamuzi wao wa kuwa Beef free nauunga mkono 100% ...
Maana apo Diamond ndiye the Bad'Ass'Hole....Sorry shem darling ila ndio ukweli!!!
Big up Wema, Keep your friends close and your 'beef mob' closer madam!!!!! xoxo...

3 comments:

  1. Heheeeiyaa shem darling

    ReplyDelete
  2. hahhahahahhaa swali ni nani ataolewa?????

    ReplyDelete
  3. Nimeipenda..umeieka stor kipeke yako

    ReplyDelete

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT