PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Friday, August 8, 2014

MIE NAONA HUU NI USHAMBA....

Mambo my dears!!!
Hope you are all well. Mimi pia nipo pouwa sana... It's nane-nane, long week end, yaani ivi ndio biashara inakua nzuri hadi naomba Mungu kila public holiday iwe inaangukia friday...Hahahaaa
Ivi mnakumbuka kuna siku niliweka post about za Jay z and Beyonce eeh?! Did i tell you how much i adore them... lol!!! Rumor has it etiiiii they are planning kuachana after kumaliza their tour "RUN" jamani naomba Mungu iwe uongo lol... Ninavyowapendaaaa!!! 
Sasa hii story ya leo ndio kweli nimeamini kumbe hata majuu pia wapo akina Ze mambululaaazzz ...
This lady Olivia MacFaller inasemekana ni hawara wa Jay Z, eti katoa single yake inaenda kwa jina la ''Sorry Mrs.Carter'' ..... mind you Jay Z ndio Mr.Carter mwenyewe..so iyo single inamuhusu my lovely Beyonce.... Hio akiliiiii matope??? 
Ivi inakuwaje A real man, anaanza tuu kumuacha yule aliyempenda hadi akaamua kumuoa for a temporary bitch??? Apo ana'proove he isnt a real man kwa kweliiii...
Alafuu kwani ukitembea na mume wa mtu ndio hadi ujionyesheeeee ivo???? Kiruuu...
Mie nakuona mshamba ujue, yaani kwanza watu tunakucheka na kukuonea huruma maana hujui thamani yako.... Kwanini na wewe usitafute mume wako??? Ili hata ukijishebedua wote tunajua ni wakooo.... Wallah, unajitilia mikosi,hujui tuu...
Ama ndio zile za kizuri kula na mwenzako?? Hahahahaaaaa.. Teeeynaaah... (ni mtazamo tuu masela msijenge chuki)
Aya sasa tui'check kwanza Single ya Hawara wa Jay Z a.k.a Olivia McFaller "Sorry Mrs.Carter
Tuendelee....
Mimi apo naona if angekua na akili bora tuu angesubiria mpaka Beyonce apewe talaka(kama ni kweli) alafu ndio yeye sasa aanze kujishebedua....maana men can be sooo good in playing with minds za wadada wanaojirahisisha... Ooooh, nitamuacha mke wangu kwa ajili yako..Thubutuuuuu, zaweza kuwa fix tuu izo... Ukasubiri sana tuu... mara miezi, mara miaka inakatika... Dah!! mbona mke haachwiii??? 
Unapokuja kujishtukia tayari na wewe ushakua ''Fake wife'' tuu maana apo tayari ushazalishwa.. Pozi zote kwishney... Huna ujanja  tena, na patamu zaidi ni pale ambapo sasa anaaanza kukuongezea wenzako kama wanne iviiii... Hahahahaaaa!!! 
Bi mkubwa (Ze Original Wife) yeye anawaachia tuu mumleleee, bi wa kati sasa na bi mdogo na wengine sijui ni kina'bi wadogoo zaidiiii  ama wanaitwaga vipi???? Kiruuuu muanze basi kujishebedua na Sorry Mrs naniiii.... Hahahahaaa


Yes darling... Na utuwacheee ''Wife Materials" tujishebedueee... watu na waume zetu banaaa!!!! 
Touch him...I kill u...wewe waeza kusema ivooo??!! You'll be dead before you kill mchepuko mwenzako mbonaaa... Hahahaaa, Wapi Ze Originalsssss Wife..... 

Habari ndio iyooo.... 
Aya sasa,tushajipa rahaaa eeeh?! Bye, now ni time ya kuzisaka chapaaa... Nawa'love love mnoooo!!!!

xoxo!!!

8 comments:

  1. hahahah gf umetugusa wengiiii.. tutabadilika kwa kweli

    ReplyDelete
  2. ni umbururaaa na ushamba mavi huo,wadada tubadilike

    ReplyDelete
  3. alivo mzuri,anajiaibisha tuu.pole zake.

    ReplyDelete
  4. heheheeeiyaaa...vidumu kupost picha za faza hauc ni umburula wa hali ya juu, tafuta wakwako ujishaue nae kama mamaa akee fay

    ReplyDelete
  5. SHOST UNA MAKAVU LIVE, MSG DELIVERED

    ReplyDelete
  6. yan Admin umesema,mi nmemuangalia jana kwanza kujifananisha na Queen of Hova no way,amekomaaaaaa kama kegete huto dada na ni Mmbaya mi nmemzidi..........kaniboa ad naharisha,mfyuuuuuuuuuuuuuuuu
    Mrs.Sir

    ReplyDelete
  7. Shost huyo ni punguani, anazani anaweza kumfikia original wife??? Haitakaa itokeee.nyokooo

    ReplyDelete
  8. Mmh chezea ndoa na vidumu wewe

    ReplyDelete

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT