Hi all,
Nawashukuru sana wote mlioziamini Gf Min-Depots ziwe your one and only supplier wa vinywaji kwenye sherehe zenu...From wale wa kubariki ndoa to wale wa ubatizo, Mungu nimtegemeae awabariki sana!!! You all made my holidays-season so very wonderful...
Special thanx to my team ''Team Gf'' (wadada na wakaka wangu wa depots) jamani wasaidizi wangu nawapenda sana, asanteni sana kwa uchapakazi wenu na uaminifu katika biashara, Yesu wangu awabariki na tuendelee kuishi kwa amani... Mlinifurahisha sana katika kipindi hiki cha sikukuu za Pasaka, siwezi kuwasahau maana pamoja na kuwa nawalipa salary ila the support you give me is priceless, nyie ni ndugu zangu kabisaaaa...pamoja na kuwa ni sikukuu lakini mlikuwa na mimi bega kwa bega kuhakikisha oda zote zinawafikia wateja, tena mlifanya kazi zaidi ya muda wa kazi bila hata kulalamika wala kununa, hamkuomba hata kupumzika even when everybody was on mapumziko...nyie mliendelea kuchapa kazi, Dah there will be no me without you guys, nawapenda sanaaaa!!!!
Lastly, niwashukuru nyie wote mnaosoma hapa na kuendelea kueneza good news about my depots, m'barikiwe mnooo!!! Maana zaidi ya 50% ya wateja niliowahudumia kipindi hiki walikuwa connected to the depots through this blog, wengiii ni wadau wa muda mrefu na wachache ni wadau wapya waliopewa taarifa tuu na wadau wa zamani, so nilifurahi sana to meet the new friends and tukafanya kazi pamoja...na naamini wamefurahia huduma zetu na tunawakaribisha tena na tena at GF MIN DEPOTS!!!!
After my very short ''note'' of kushukuru sasa naomba niwape uhondo kidogo wa picha of me and my hubby on ''outing'' ya kusubiria kufufuka kwa Kristo....
Hapo sijui nilikuwa nashangaa nini mwenyewe, lol... I guess nilikuwa nampa hubby mastory... hahahaaaa, maana na yeye kwa that picture ya chini yupo na msikilizo kuntuuu..hahahaaahahaaa....
Kama kawa mie on my green-tea things, no sugar at all... And hubby on his pespi-diet tingzzz....
Me + Him = Perfection...
And the ''menu'' was.... macaron and beef-curry for him!
Yummyyy...
My man's plate...
vegges-chukuchuku, ugali na kuku wa kuokwa and dietary-source for me....
Sooo yammmyyy!!!
Mie with pictures, hahahahaaa...
Nikaanza sasa kuwa busy na msosi...
Us...
My man....
I love him...
And i love all of you too,
Stay tuned...
XOXO!!
No comments:
Post a Comment