Don't hate, be inspired!!
So far, i am the one and only msusi wa Faith... Bado sijaweza kabisa kumuamini mtu amsuke mwanangu...naiamini only mikono yangu kwa kichwa chake more than any'ones... And still Faith hajawahi kuwa rough even a single day, pamoja na my busy schedule ila i must have time ya kumsuka Faith wangu...
One of sooo many reasons ya mimi kumwambia Mungu anipe mtoto wa kike was to experience this... Nilikuwa natamani sana niwe na ka'baby girl ili niwe namsuka vimdoli-mdoli and do the girlsh-stuffs...Asante Mungu kwa kujibu maombi yangu!!!
Funny thing is, hapo nikiwa natamani hivyo hata kusuka nilikuwa sijui... Nimejifunza kusuka kwenye kichwa cha Faith, she is the first girl i ever kuchezea nywele zake na hadi sasa zimerefuka naweza hata kujishaua kuwa na mie najua kusuka....hahahahaa!!! Isn't it sweeeeet??!!!
Ni raha ya ajabu kuwa na mtoto wa kike smart all the time.... Msafi hadi unatamani kumlamba...hahahahahaaaa!!!
Hapo usipokuwa inspired ujue wewe una yako tena makubwa haswaaaa....
Kama tuu my shoga'uyoga ameshakuwa inspired hadi siku izi atleast anatizamika who are you not to be???!!!!
Hahahahaaaa...Nipo day-off so mnizoee coz hii ni siku ya ku'relaxxxx...umbea kidogooo na kujiachia...Ama neneeee!!
#EasyDay #TuesDay #Gf'sDayOff
#EasyDay #TuesDay #Gf'sDayOff
XOXO!!
No comments:
Post a Comment