PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Sunday, May 1, 2016

TEA DATE....

Happy May Day....
This is Faith's and my dad's birth-month... Siwezi hata kuwaza how it'll be maana hahahahahahahaa... #ShikamooMagufuli....
Mambo ni mengiiiii na pesa ngumuuu, kiruuuu!!! Hivi ni mie tuu napata mchaka-mchaka na huu uchumi wa Tz nowdays ama na nyie wenzangu??!!! Yaani pamoja na uchagga wangu woteee ila #MjombaMagu ananinyoosha kiukweli....
 Ila Mungu wangu hajawahi kushindwa buanaaaa....na ndio maana pamoja na uchumi mgumu bado tuu napeta... Ama vepeeee!!!! Hahahahahahahahahaha.... 
 
Owky dears, that was one of them Sundays za kuji'spoil kidogoooo!! Yeah, si unajua kuji'spoil sio lazima uwe millionea eeeeeh??!! Hivyo hivyo tuu na pesa zako za ''shkamooMagu'' unaweza amua kujipa raha na raha ikakukolea....
Mie and my babies had a tea-date after kutoka ibadani... Tulisali ibada ya kwanza wote ya kumshukuru Mungu kwa kutupa afya njema na kutupitisha mwezi April salama... Sasa tunaingia mwezi May kibabe kabisaaaaa...tupo full confident maana Mungu wetu ametuahidi kuyala mema ya nchi!!!!



 


 


After tea sasa tukajisikia joto... And below was how tulionekana without masweta... #ExcusePichaHazipoClear
 Me & Min-Me...

 Naanza gym soon... I swear nimekuwa kibonge na robo-tatu!!! Hahahahahahaaa..am about to hit 100kgs, kiruuu...naanza kupunguza kupenda picha coz of this body.... too much unene siupendi, napenda unene ule unaoeleweka!!!
Huu unene wa sasa umenifanya hadi ni'redesigne hii nguo maana mikono ilinibana... If you remember it so well haikuwa na mikono ya yellow... Ingawaje nimezidi kuipenda ila nooooo, i must kupungua kidogoooo!!!

 
 Bye from the other side of Iringa town....
#Gangilonga #KwetuKwaZamani
 Tunawapenda sana!!! 
Happy Sunday..
XOXO!!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT