PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Wednesday, June 24, 2015

FAIZA KUNYANG'ANYWA SASHA NA MH.SUGU SIO HAKI KABISAAAAA.....

Hey wapenzi,

Jamani ebu kwanza someni hii habari then tutaendelea.... 
''Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) ameshinda kesi aliyomfungulia aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally ambaye pia ni mama wa mtoto wake wa kike aitwaye Sasha.
Kwa mujibu wa maelezo ya Faiza kupitia akaunti yake ya Instagram, mahakama imetoa hukumu ambayo ni mtoto achukuliwe na kulelewa na baba yake mzazi.
Sugu alimshitaki Faiza kwa madai kuwa hana maadili na ana hofia kuwa atamharibu mtoto wao, hivyo alitaka kumchukua mtoto kutoka kwa mama yake aishi naye.
Hiki ndicho amekiandika Faiza baada ya hukumu kutolewa:
“Sielewi Joseph ameshindaje kesi- ushahidi wa picha peke yake sioni kama unatosha mimi kupokonywa mtoto wangu,mtoto wangu ni mdogo sana ananihitaji sana, na sita rudi hata ikibidi kuuza kila nilicho nacho kwa ajili ya kusimamia hili.
"Sijapewa nafasi nimepelekwa mahakamani ijumaa na leo jumanne nimepewa hukumu/ mwanangu achukuliwe….. hapana ! sitarudi nyuma na haitakua rahisi ninakata rufaa na kutafuta wakili wa kunisimamia hili.
"Mwanangu anasoma vizuri anaishi vizuri na naamini kwenye mikono yangu yuko salama zaidi ya kokote/ yaani kuhusu kukosa kukaa na mwanangu ni bora kufa kuliko kuishi nikimuona sasha ana lelewa na mama mwingine ikiwa mimi mama yake niko hai na makini katika malezi ya mtoto wangu.
 "Nina ndoto na mwanangu nyingi sana , nahitaji kuishi nae yeye ndio kila kitu kwenye maisha yangu/ nampenda sana mwanangu na sijashindwa kumlea.
"Naona uchungu sana kupelekwa mahakamani na kupokonywa mtoto wangu bila sababu za msingi .
 "Sitaogopa cheo chake cha ubunge kamwe ntasimama kama mama mwenye haki kwa mtoto wake …mungu naomba nielekeze.nisimamie na unihukumie huu ukatili ninao fanyiwa na baba sasha …..”

Aya sasa tuendelee...
Wapenzi yaani naandika hapa nikiwa in tears... Nimeumia sana, yaani sanaaaa na hukumu hiyo aliyopewa Faiza maana mimi pia ni mama.. Na najua uchungu wa mwana!! Na kamwe siwezi ruhusu wanangu wakalelewe na mwanamke mwingine wakati mimi nipo hai... Never ever!!!!!
Labda niwe nimekufa hapo sintakuwa na ujanja na If and only if, nikiwa hai niwe na disability ambayo kweli ni ngumu kumlea mtoto wangu kama vile niwe kichaa au niwe sina mikono na miguu,hapo hata mimi nitakubali mwanamke mwingine awalee wanangu kishingo upande... Ila nipo haiii na afya na nguvu ninazo HAITAKAA ITOKEEEE!!!
Hakuna mwanamke mwingine anayeweza kuwalea wanangu vizuri zaidi ya mimi niliyewazaa.. Hapo nina uhakika 100% maana mimi mwenyewe siwezi kumlea mtoto wa mwanamke mwingine nikampa mapenzi 100% kama ambayo angepewa na mama yake..

Labda mie sijui sheria vizuri ila sidhani kama kuvaa nguo za uchi ni sababu tosha inayoweza kufanya mama mzazi kunyang'anywa mwanae, tena mtoto wa miaka miwili tuu jamani... Ebu wale wanasheria wanisaidie hapa is this right????? Yaani kisa tuu kuvaa nguo za kunionyesha mwili wangu naweza kukosa haki ya kuwa ''mama'' to my own babies???? Aiseeee zis iz noti raitiiii (In Idrisa's voice)
Au labda hii sheria ipo applied in Tanzania only... Maana kama ipogo kila mahali ebu jaribuni kupata picha Kim Kardashian ingekuwaje???? Hahahahaa, yaani Kim angenyang'anywa mwanae na angepigwa stop kabisaaa kuzaa tena...maana picha zake yule ndio zina'break the Internet kabisaaa!!!

Mie nam'follow Faiza on instagram tokea zamani sana, na siku hiyo ya tuzo alivyovaa ivo hadi tako likaonekana kesho yake alijieleza kuwa halikuwa lengo lake kuacha tako wazi ivooo ila ni kamkanda kalipanda na aliomba radhi kwa hilo...
Anyways, hata kama alidhamiria kukaa uchi,sawa tuu ila that can never make her a bad mother... Wa'mama wangapi wanajiuza ili to feed their babies???? Unakuta m'mama yupo tayari hata kupigwa picha za uchi kabisaaaa ''nyapu'' nje njeee ili tuu mwanae awe na maisha mazuri.. Does that makes her a bad mother???? Hapana aiseeee...

Mh.Sugu hapo kwa hiyo picha alitaka wavae madela maana hiyo picha ndio iliyotumika mahakamani kuwa Sasha anapigwa picha za uchi na zinasambazwa mitandaoni... Hahahahaaaa, Uuuuuwiiii..ivi na nyie wadada muwage mnaangalia na watu wa kuzaa nao sometimes... Hapo wapo beach, mama na mwana wana have fun jamani alitaka wavaaje???
Na huyo hakimu nae hana akili za kujiongeza pia... Lazima alikuwa ana'act under something ''unknown'' maana kiukweli pia hii kesi ilivyoenda kila mtu anashangaa sana hukumu ya fasta fasta na tayari kesi imeisha....Dah!!!

 Nahisi Mh.Sugu huko mahakamani alisema mwanae anateseka sana, mama hana time nae, hatunzwi vizuri, yaani yupo full abused so hakimu aka'panic akatoa hukumu ya fasta au???

Maana kwa hili swala la mavazi aiseee umetuchosha sana wananchi ..Tunaona kama unatumia cheo chako kumnyanyasa Faiza, maana mheshimiwa wewe ulimjua Faiza zamani sanaaaa, hujamjua juzi wala jana, na nguo zake ndio zilikuwaga ivo ivo maana picha pia tulikuwa tunaziona years back... 
Faiza alikuwa mtu wa kujiachia hata akiwa na Mh.Sugu, anapenda sana beach-life na anapenda sana kupiga picha... Iweje sasa ndio uone kuwa nguo zake sio za maadili???? 
Na kama uliona nguo zake sio za maadili ulianzaje kuzaa nae???? Duh...nilikuwa namkubali na kumheshimu sana Mh.Sugu ila kwa hiliiii loooh, nimemuona nae kumbe ni wale wale wa kubebewa akili zao na watu.... Maana hapa mheshimiwa hujazitumia akili zako zote!!
 
Who wouldn't wish to be like this???? Aisee mie natamaniiii, yaani nawatamani hatareeee... Mama na binti rock in beautiful-bikin swaggers... Aaaaw!!!

Pole sana Faiza, najua upo katika wakati mgumu sana, Mwenyezi Mungu akuonekanie na akutie nguvu pia akusaidie katika magumu yote haya unayopitia...you are in my prayers...

Jamani wale wa kutetea haki za wanawake, haki za mama na mtoto pleaseee mjitokeze mumsaidie Faiza katika hili...

NB;Nasikia pia mheshimiwa alimpeleka Sasha kunyolewa nywele zake bila kumshirikisha Faiza..
Jamani jamani jamaniiii!!! Dah..
Naomba tuu niachie hapo maana sipati picha siku nimkute Faith wangu kanyolewa bila mie kuambiwa kitu chochote, hahahahaaa...#WorldWar3

USHAURI WA BURE: Mh.Sugu mimi nakushauri ungemwachia tuu Faiza mtot wake maana kati yako wewe na Faiza wote mta'loose sana mkiendelea na haya mambo... Faiza anaongea na kuandika mengi sana juu yako kwasababu ya hasira na uchungu wa mwanae... Hii itakushusha sana kisiasa, maana wewe na familia yako ni uozo mtupuuuu according to maneno anayoongea Faiza wewe hustahili kuwa hata Mbunge tena, nani anataka mbunge mfi*****i????? Ndugu zako walimpa house-girl wenu mimba na amezaa mtoto hajulikani ni wa ndugu mkubwa au mdogo, unataka watu waanze kukuchunguza na wewe personal life yako kweli unafaa kuwa baba??? Tena kwa binti mdogo wa miaka miwili?????
Siku zote ulikuwa wapi usimtake mwanao hadi uanze kuombwa kodi ya nyumba ndio useme mavazi ya mama hayana maadili??? Sugu Sugu Suguuu unaiangusha CHADEMA na wananchi wako wa Mbeya sana, achana na hii issue kabisaaaa.... Mrudishe Sasha kwa mama yake pleaseee!!!


Put Faiza on your prayers too,
XOXO!!!

6 comments:

  1. hii inaumiza sana labda alitaka mwanae aende beach na magwanda ya chadema

    ReplyDelete
  2. sugu ni mnyanyasaji sana na sio kwa faiza tuu hadi kwa wanawake wote aliokuwa nao huwaacha kama mbwa na ukimfatilia kwa lolote ndio zake tuu kukukomesha. Joyce kiriaa ameshasema atamsaidia faiza baada ya kujua stor nzima ngoja nikutag insta

    ReplyDelete
  3. ndio court zetu izo za manzese g, ila inauma sana yaani #Sugu bring back our Sasha

    ReplyDelete
  4. faiza anakera sana na vichupichupi vyake na anamwarib mtot maana mtoto anakopy mama anachofanya ila hio c reazon tosha ya kunyanganywa mtoto apo lazima kuna rushwa imetembea

    ReplyDelete
  5. cjaona cha ajabu apo kwenye mavazi ya Faiza maana wadada ama niseme wamama wa d'slam kuvaa nusu uchi ndio zao na haiwafanyi wasiwe wamama bora kwa wanoa,tako kuonekana hiyo ilikuwa ajali kazini kama ajali nyingine mxxxiiiwww mheshimiwa mkundu sana eti Faiza malaya sasa kama yy haleti child support kuna tatizo gani akitobwa mwanae alelewe?? msenge sana huyo sugu ni bangi ndio zinamuharibu mwanaharamu mchambia panga yule mxxxxiiiiwwww

    ReplyDelete
  6. huo ushauri wako sugu angeutekeleza tuu mapema g maana mabaya yake yote sasa ndio tutayaanika na mbeya hatumtaki tena.mbunge mfiraji hatufai na kwa sasa anatembea na mke wa mtu,kamdanganya na hela hadi mwanamke akamuacha mume wake ndio yupo na sugu yaani info zote ninazo hadi picha ukitaka nitakutumia maana sasa kama mbwai na iwe mbwai ama niniiii. yeye anamwaga mboga sie twamwaga ugali mweee!

    ReplyDelete

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT