wake up late kidogo, and leo ofisini kwetu nina serious duty plus mwisho wa mwezi...Uuuuwiiii mimi...
For those ambao hamjui, mimi ni muajiriwa pia,lol i am kila kitu kinachohusiana na kushika manoti..Am accountant by professional, enterprenue by birth,(hahahaa..chezea mchaga wewee)
Aya sasa let me tell u a secrete "good thing about taking classic drinks kwenye mitoko ni kwamba, in the morning hauwi mchovu" Imagn i slept for two hours only, still i managed to dress up and pose for photo before job and by saa mbili i was in the office... Thanx to Gf Min Depot kwa drinks zenye akili..
(Thanx Miami Pub kwa kuniungisha pia)
My today's look.....#BlueMonday#BlueRide#
HandBag available at Gf Boutique!!! |
I wish nipate na dawa ya kupaka mashavu nayo yapungue faster faster lol ..hahahahaa!!! |
BuiltOnSelfSuccsses!! |
Me, Breaking All The Rules!!! |
Hard Work Pay... |
Off To Retco!! xoxo.. |
Umependeza Shogaa
ReplyDeletethanx shogaa
DeleteMadam masifa ayo sasa
ReplyDeleteWewe koma kabisa wivu acha
ReplyDeletehahahaaa...ananizoea eeeh
Deletesio vya kuazima my dear....kwa raha zangu!!!!
Deletemimi uyo punda tu tena my fav colour blue shikamoo da g
ReplyDelete