Yaani nimeshtuka apa natetemeka kwa hii habari. Imetokea Arusha maeneo ya Sakina karibia na Motel 2000... Chatu atokea ndani ya nyumba akiwa amefungwa kitambaa cheupe kilichoandikwa na rangi nyekundu, wafanyakazi walipomuona wakapiga kelele majirani wakaja kuwasaidia kumuua chatu huyo. Mwenye nyumba kupigiwa simu akasema msimuue huyo ni mwanangu...Uuuuuuuuwiiiiiiiii, ebu mwenye stori zaidi ya hayo anijuze
Ona picha za tukio hilo (Thanx Barnaba kwa habari hii)
kitambaa alichokua amefungwa nyoka huyo
nyoka huyo akijificha baada ya umati mkubwa wa watu kufika eneo la tukio
walifanikiwa kumuua nyoka huyo
Sasa kama alikua mtoto, apo inakuaje jamaniiiiii??? mtoto ndio na yeye kafa au???? Kiruuuu cha ndesiii
Hizi nisiku za mwisho chatu Ni mtoto kweli
ReplyDeletemambo za kutaka utajiri kwa pupa izo
ReplyDeletealafu apo utakuta mama na baba wote wameshirikiana kumgeuza mtoto. kweli inasikitisha
ReplyDeletemimi nipo sakina arusha, nilienda hadi kushuudia, Gf ngoja nikutumie picha nyingine..na huyo baba amesafiri, mama ana saluni kubwa kule stend ndogo
ReplyDeleteKwahio huyo mama hajashikiliwa na Shelia?
ReplyDeletemmh wasingemuua,maybe wangesubiri mwenye nyumba arudi kwanza mana kama chatu kafa basi na mtoto nae kushnei
ReplyDeletekweli bro.. apo mtoto ndio kwaheriii
Delete