PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Friday, March 6, 2015

MAKE YOUR WEEK'END COUNT....

Hellow sweet'hearts...
Habari zenu, mie am very fine.. 

It's Friday, unaianza vipi week'end yako??

Karibuni tuianze week'end na GF MIN DEPOT, trust me hutajuta kuanza nasi week'end maana bei zetu ni very affordable kulingana na kila aina ya your financial status...
 
We sell in a wholesale prices, even if ukichukua one piece bado bei ni ile ile ya jumla, so hii ni habari njema kwa wale wapenda raha wenzangu maana in a very cheap price unajitengenezea ka'counter nyumbani kwako(sio lazima utoke ndio ule bata!!) unajaza vinywaji vya aina zote kwa bei nafuu sana... Ama neneeee!!!(In my voice)

AT GF MIN-DEPOT;
Kwanza kabisa kuna special department ya soft drinks... Kwa walokole wenzangu hii inatuhusu...
Tuna maji ya Kilimanjaro size zote, Maji Africa size zote, Maji ya Udzungwa size zote na Maji ya Uhai pamoja na Dasani... Kuna Juice za Azam size zote, Soda za take-away(plastic) Coca & Pepsi products zote, Grand malta aina zote, Bavaria, Dragon na Redbull pamoja na energy drinks zote, pia kuna Baltika na so much more....

 



 

 


Pili, kuna department ya wale wala bata hadi kuku anaona wivu, hahahahaaa... Huku sasa ndio full maraha hadi sijui nianzie wapi....
Kuna kila aina ya Whisky, Vodca, Brandy, Gin, Beer za kopo na za take away tuu, pamoja na Wines!!
 



 

 

 




 
Sasa unaanzaje kukosa kufurahia week'end yako??? 
 Aaaah... wajanja wote lazima tufurahie week'end zetu banaaa, tena tuzitumie ipasavyo haswaaa, maana in week'days ni full kuzisaka..

Tena leo Mama la Mama, Madam Director, Gf herself, Her own Boss,the one and only muke halali wa Fred, Original mama'ake F-Babies ndiye nitakuwepo kuhakikisha kila anayefika GF MIN DEPOT anaondoka na uso uliojaa tabasamu!!


Bila kuwasahau wadada wangu wanaojielewa, wanaojua mteja kwetu ni rafiki, hahahaaaa... nao pia watakuwepo kuhakikisha you all get a quality service!!!  (wamegoma kupigwa picha leo)

Kubwa kuliko vyote ni kwamba, usafiri hadi kwako unapatikana... (FREE TRANSPORT ni kwa wale wa Iringa mjini tuu na nje ya mji unachangia gharama ya mafuta tuu tunakupelekea)

Kwa maelezo zaidi, ushauri na maoni pia yanakaribishwa kwa
0753 891 997...
Ukiona sijajibu msg au wassap yako please usinune, nitakujibu as soon as possible, ni mambo mengi yameingiliana nakosa muda wa ku'chart na nyie wapendwa wangu... Ila i'll find time for you all so wewe tuma tuu ujumbe wala usijali.. Wale wa oda za haraka zote nimejibu nadhani.. So, if una oda ya haraka you just call me please, usitume msg au wassap maana ni nyingi sijazisoma bado..
 Na mnaotuma msg facebook please nitazijibu zile za oda tuu kwanza, zile personal na business nyingine ebu mjaribu kunitafuta face to face
Msg zote pia za insta-direct nimezijibu na naombeni msitume oda kwa Insta-msg tena maana nachukua muda mrefu kuzipata msg za oda, msg zikiwa nyingi ni ngumu kuchambua zipi za oda na zipi za stori nyingine..
Asanteni pia mnaonitumia ''umbea'' kwa email yangu... Natamani ni'post kila mnachonitumia ila muda tuu ndio unanibana wapendwa, ninapozisoma nakuta tayari issue ishapoa so nashindwa kui'post tena..
Kwa wale mnaoni'tag Instagram,keep it up!!! Yaani nyie ni wajanja sana maana mnaniweka updated kila mara... Nawapenda mna yaani maana hata nikiwa na busy schedule bado naweza tumia muda mfupi kuona what's going on ulimwenguni.. Mnanirahisishia maisha kama nini vileeee??!!! Aaaah...
All in all, nawakubali sana na ukweli ni kwamba since nimeanza ku'blog nimekuwa napata bonge la campan from you guys hadi wale mashostito masnich wote nishawaweka kando.. Nimebaki na real people tuu hapa, my dying hard friends... Wale wasioweza maliza two days bila ku'view my blog.. No more drama, No more majungu... Hapa ni rahaaa tuu maana hapa ni stress free zone kwa kila mtu, ama neneeeee!!!(In Wema's voice) Hahahahahaaaa....

Na kama ulikuwa snitch-shostito and still bado unani'view, darling one...jihesabie na wewe ni mmoja kati ya marafiki zangu wapenzi maana being here tuu kunisoma,that's love!! Hahahahaa, yaani you love me ndio maana hata vile we dont meet to catch'up ila bado we still meet here... And good thing is IN HERE I RUN THE GAME, so keep on kunisoma kimya kimya, ama neneeeee!!(In my voice)

#Hate is a new Envy# By Wema Sepetu

And one more thing about me,
I AM A DIVA, I DONT HOLD GRUDGES, I ONLY REMEMBER FACTS
so, likikugusa ujue nakupa fact tu my kipenzi!!!
Hahahaaa...

Make your week'end count...
Nawapenda sana, sana zaidi ya sana!!!
 XOXO...

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT