PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, March 31, 2015

www.gf-collectionstz.blogspot.com ONE YEAR ANIVESARY!!

Hi everybody...
Do you guys believe in dreams comes to reality???
Mie naamini 100%... Ukiwa na nia and ukijituma na kumtegemea Mungu kila kitu kinawezekana...




Kiukweli kwa miaka hii 29 niliyonayo sasa, most of my dreams zimeshatokea, am thankful and great-full... 
I am still young so bado naendelea to dream, hahahaha... na pia bado dreams nyingine zipo njiani soon and very soon zitakuwa reality in the name of my living God... (Can you say AMEN)

Kwa wale waliopo karibu na mimi watakuwa wanajua kuwa mie ni kati ya watu ambao wanaweza wakakosa usingizi kabisaaaaa when wanapotaka kitu then kishindikane.. Duuuh...naweza nikakesha for days yaani hadi ni'make sure nimetimiza kile nikitakacho... Naamini I was born a winner so story za kushindwa kwangu aisee sitakagi kabisaaa kuzisikia...
Even my hubby ananiambiaga nina winning spirit and he loves me more maana sikubaligi kushindwa wala sikati tamaa easily when it comes to something I really want, hahahahaaaaa...
So eti nikipotezea kitu anasema sio kwamba nimeshindwa ni kwamba sikitaki... I think he is very right, yaani nikitaka kitu nipo ready to work on it till I sweat blood hadi nihakikishe nimekipata ndio ni'relax....
 

   For years nilikuwa natamani sana niwe na blog yangu binafsi, ya mambo yangu niyapendayo, about my life and issues za kijamii in general, about fashions and ma'story mengine... Then, tarehe na mwezi kama wa leo mwaka 2014 namshukuru Mungu maana dream yangu ilikuwa reality....
Na leo am so proud of myself maana nimetimiza one year of blogging and sijawahi regret wala kuwa bored with it... Am so very happy!!!!

Asanteni wapendwa wangu kwa kuwa na mie kwa mwaka mzima sasa na bado mnaendelea kuwepo, hadi leo tuna viewers zaidi ya 20,000 (elfu ishirini) kutoka duniani kote..
(Natumia camera yenye auto-flash kupiga simu my laptop, so huo mwanga ni from camera,poleni... Ila viewers wanaonekana hapo ni 20325 hadi now tar.31.03.2015 saa tatu asubuhi)
 Kwa page viewers hata wewe msomaji ukitumia laptop pia unaweza kuwaona... 
 

And in blog's settings ni mimi owner wa blog ndie naweza kuona my viewers wanasoma blog yangu from where, kwa leo Tanzania na United State ndio wanaongoza kwa kunisoma... Ila there are more countries pia zinanisoma as ivo in picha...
 
Sorry kwa huo mwanga hapo, ni kwa vile nimepiga picha laptop and my camera ina auto-flash
nikitaka pia kuangalia kwa Tanzania tuu naweza kuona ni mikoa gani inanisoma zaidi, pia nikichagua kuangalia mkoa mmoja tuu like Iringa,nitaona ni maeneo gani wananisoma zaidi like Mafinga, Iringa mjini, n.k

So,hapo nimeangalia kwa dunia nzima ni nchi ngapi zinanisoma and that's a results...
Pia nikitaka kuona ni post gani imesomwa leo mara nyingi naweza kuona kama ivo..

Sina hata maneno ya kuwaeleza mjue ni jinsi gani ninavyowapenda, yaani nawapenda hadi sijielewi..
 
Nawashukuru sana sana sana kwa full support mliyokuwa mnanipa in my businesses and in every other mapurukushani ya maisha... 
You guys never leave me hata one day yaani, hadi nikiwa sija'blog siku chache tuu nawa'miss like hatareee.. !!!


Nawapenda, nawapenda na nawapenda sana zaidi ya sana!!!
Happy One Year Anniversary Gf-Collections...

1 comment:

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT