PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Friday, March 27, 2015

MUKE WA MGANDA NI SHEEEEDAR!!!

Hellow darling ones,
Thanx wote mnaoendelea kuni'tag huko Instagram, mmmmh... maana mambo ni matamujeee, hahahaaa!!!
Chaggabarbie kacharukajee sasa, uuuuwiiii... ndio hadi kaweka zile picha za sex za wifi..jamaniiiiiiii....
Mmmmmh, zile siwezi ziweka hapa aiseee, maana wifi nae hata hakukumbuka to shave first, keleuwiiii...

Haya yote lakini yalianzaje???? Kama vile dada wa hiari wa Wema alisemaga Ivan ndio anam'date Wema eeeh???!! Hahahahaaaaa... Sitaki kusutwa mie na muke ya muzungu.. Ilaaaaaa, .....????!!!!

According to Chaggabarbie chanzo kilikuwa ni hii post ya wifi... 

Kwa hayo maelezo tuu hapo mtu mwenye akili tayari unaelewa kuwa kitendo cha Chaggabarbie kuwa na Ivan kinampa tabu sana wifi Zari, maana kama hakimnyimi raha kwanini anaendelea kumfatilia??? 
Labda kweli wifi wala hataki kurudiana na Ivan, ila tuu kwa vile kamuona Ivan sasa yupo na mutoto mrembo tena mwenye mashauzi kibaooo, akaona mmmh,hapa hata nikiomba tuu hela nitatangazwajeeee.... May be ndio sababu akawa hampendi Chaggabarbie na akaona bora amchimbe biti mapeeemaaa ili awe anamuogopa..
 Bad thing sasa akakutana na kichwa cha Kichagga, we fear no body, only Ruwa Mangi hahahahaaaa....
Toto la kichagga halijamuogopa hata wifi wa taifa, mbutaaaa!!!
Akampa vidonge vyakeee, then sasa ameamua awe busy na mambo yake, safiiii sana Chaggabarbie, akuanzae mmalize tena mmalize vizuri kabsaaa...

 Mwishoni sasa leo pia Chaggabarbie kaamua aishie hapo



Ila wifi wa taifa(Zari) nae naona hayupo tayari kuyamalizia hapa eeeh... Hahahaaaa!!! Sasa hapa kamaanisha nini tena??? Au ndio anataka na Ivan nae awe anamsaidia Chaggabarbie kutukana???
Kiruuuu, hapa ndio nimemuona wifi nae hana akili kabisaaaaaa... Hadi hapo hajaona tuu that's a mutual thing??? Maana vile Chaggabarbie anavyomtukana na anam'tag Ivan ina maana huyo Ivan nae kakubaliana na hayo matusi, tena pengine Ivan ndio anamsaidiaga Chaggabarbie facts zaidi za kumtukana Zari... Maana ungekuta Ivan hayupo upande wa Chaggabarbie,anavyotagiwa upuuzi angekataa au ange'comment kuwa hataki kuhusishwa... Kukaa kimya tuu kwa Ivan ina maana yupo side ya Chaggabarbie, yule ni mwanaume so hawezi anza tuu kuandika matusi ila anayasoma and yupo sawa...hahaaaa, that's a mutual thing my dear wiiii...
(Example: Eti mimi nikuzodoe hapa kwa blog alafu ujishaue huko eti utaenda muambia Fred kuwa nakuzodoa,hahahaaaa... My dear, hadi nakuzodoa hapa ujue Fred tayari anayajua yooooote, and sometimes pia ndie ananishauri niwachimbe biti zaidi, hahahaaaa...hadi niwatishie kuweka picha zenu hapa, hahaaaaaaa...tena vile tunazo zile picha matataaaa,uuuuuwiiii... endelea uone nitavyokuaibisha wewe na familia yako yote hadi mseme poo)

So wifi calm down tuu ulee mimba yako usije jifungua pre-mature bureeeee maana Ivan na Chaggabarbie lao moja, hata kama Ivan hakuandiki wala kukutukana iyo ni kwasababu yeye ni mwanaume anayejielewa, ila kum'support Chaggabarbie ni 100% anampa support ndio maana she is free kum'tag anavyokutukana... Huo ndio ukweli, upende usipende ila habari ndio hiyo...


Mahaba mazito kwenu wote....
XOXO!!!

3 comments:

  1. Nadhani ukempa doz kizungu angekupata zaid!
    yaan kiukweli huyu dada simpend hata kidgo mi jaman!
    kinachoniuma ameacha kujali ya nchini kwao anajali ya wabongo wanasema nini yan utadhan huku ni kwao!if i only had accessibility to immigration i coud've taught her a lesson!

    sasa inavoboa sasa mamamamamaaaaaaaa mxiiiieeew yan huyu na domo wamekutana kwa uswahili halafu anataka vyote viwe vyake
    Tulia wa tandale akuoneshe wabongo walivyo
    my friend u will definitely regret ever knowing Tanzanians!
    and after allllllll we are so faded up by u guys
    as muh as i want u to come leak my ass. Mrs.Munyi D

    ReplyDelete
  2. Zari alishasemaga kwenye show ya spora kwamba ivan awezi kumreplace akiwa namaana kamwe ivan hawezi pata mwanamke wa kumkopea nae...na mara nyingi mtu anayemuacha mwenzie huwa anakuombea udate na vichokaraa vijitu vibaya vibaya utafanikiwa ndo furaha za ma x ila ukidate na hot chocolate cake basi uropokaji hauishagi...mafumbo hayakauki.zari ameamua kuwa na diamond had kajiamulia kijibebesha mimba akiwa 100% kwamba yy na Ivan basi...sasa nn mafumbo na kelele za kengele kila ajuapo ivan anadate na mtu.kwann huwa anakashifu kila mwanamke anayedate na Ivan...kwann ataki ivan awe na mwanamke huru wa kupiga mapicha ya kiss kiss na yy ashike matako kama yy anavyoshikwa na diamond.kutupa November eti chaga akienda south Africa atakuwa housegirl wa wanae ni Ukitaka kumfanya chaga asigo on na ivan.yy mbona anavumilia kashfa zote na matusi yote anayotupiwa basi kama kweli chaga anadate na ivan ajue na mwenzie atavulia pia as long ivan atampenda...watoto hawezi mchukia chaga kama ivan atawaambia nimekaa Siku zote kumsubiri arud ataki....na watoto wakimwambia mama Rud nyumbani awezi Rudi mana kashakula kiapo cha kuliwa na diamond...ivan sio hanithi akaage maisha yote bila mwanamke kungojea mwanamke asiyejua lini tarehe na huku kajazwa mimba.zari jikaze..the more Unavyo wa attack ma main chick wa x wako ndo unaweka maswali hata kwa diamond...mtu ushasema umtaki yann kufatilia housegirl wake akiwao...mtaka yote kwa pupa hukosa yote.atakayeolewa na ivan zari utakuwa chini ya huyo mwanamke mama coz hakuna mwanamke ataolewa akubali ulete kimberembere chako cha kumtawala kisa Ivan ni baba wa toto....don't use watoto kumpa ivan kilema cha kutokana wanawake tena ili hali ww ukufikiria ukagawa had kutiwa mimba.kama unamuhitaji ivan rudi tandale uliko ka spend na ivan ila uliwe huko ivan aogope kudate au wanawake waogope kudate na ivan kisa zari........fanya maamuzi mapema mwanamke...utakuja semaga ningelijua wakati ivan fikra zake zitapoelemea kwa new baby mama wake.wanaume wadhaifu na ogopa mwanaume akikupa shit ageuki..ivan anakupa chance ila uioni uko busy na mapenzi ya SERENGETI boy akidate na mtu presha juu.....choose uganda or Tanzania mama mana ukijazaa mtoto ukiolewa sijui utaenda ganda south kwenye nyumba za ivan Hapana baby baba atakutaka uje kuishi Tanzania..are you ready kuacha kila kitu kuja tz kuliko na furaha yako...yuko Tayari kuwaacha wanae awaone kwa msimu kina SERENGETI boy's love..yuko tayari kukosa pesa za matumizi alizokuwa anapewa kwaajili ya watoto mana ukichoose tz huyo bwege wakukupa hela ulee chibu junior ayupo diamond atakuwa new mfadhili wako.je anarasimali za kutosha za kujikimu akienda kuishi dar.. atafakari

    ReplyDelete
  3. hahahahaaaa.. @Mrs Munyi D, wifi anajua kiswahili haswaaa and ukweli anaboa aisee

    ReplyDelete

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT