PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Wednesday, March 25, 2015

TATIZO SIO KUFANYA DIET...

Hey wapendwa wa mie..
Hope you are all fine!
Jamani leo naombeni mnisaidie kitu kimoja... Yaani kati ya vitu vinavyoweza kuninyima raha ni kukosa size ya nguo niliyoipenda kwa kigezo tuu eti hazijatoka size kubwa.. Uuuuuwiii, nasikiaga kuchizi kabisa yaani, nakuwa mnyonge hadi sijielewi!!
Na hiyo ndio sababu kubwa ya mimi kuanza diet... 

 
Ingawaje kufanya diet ni ngumu ila mie kwa upande wangu nilishaanza kuzoea kabisaaa, ila sasa tatizo sio kufanya diet, tatizo ni how to maintain it.. Ivi ni lazima diet iwe ndio maisha yako yote????
 

Mbona mie nikifanya tuu diet serious siku saba naona changes kabisaaaa ila nikipumzika only two days narudia kuwa kibonge... Ni nini solution ya hii issue jamani???
 

Are diets meant to be for a life-time au??? Mbona tutashindwa jamani kuwa na bikin-bodies kwa ustaarabu.. Kiruuu!!
Yaani siku tatu tuu za kula kula nimesha'gain 3more kgs,yeuwiiiiii....
Ivi diet inavyokuwaga ngumu vileeee alafu napunguzaga 1kg kwa siku saba, inakuwaje naongezeka 3kgs tena ghafla ivi jamaniiii....



Dah.. nasubiria ushauri pleaseeee......

XOXO!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT