PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Wednesday, November 26, 2014

BRING BACK MY WAIST....

Dolls,
This is getting serious sasa... Still naonekana nimepungua but where is my waist??? Hahahahahaaaa... 
Hadi nimejicheka leo, belt nilivyoing'ang'aniza ikae... lol
Itakaa tuu ipende isipende.. Sasa mie I love fashion na kiuno kimepotea ghafla ntafanyajeee???!!! 
Wacha nivumilie till next week lazima kiuno kirudi aisee!!

(My new camera ina menu ya kichina, yessss it's from China so mvumilie tuu hadi nitakapobahatisha settings ndio picha zitanoga) 

Stripes Over Polka Dots With a touch of Green...

XOXO!!!

1 comment:

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT