PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, November 11, 2014

USHAURI FROM TEAM WEMA TO DIAMOND

Dolls....
Kama kuna Team Wema ninayemkubali Instagram basi huyu Dougiemasta ni namba moja aiseee... Yaani namuelewaga in everything anachokiandika... Big up Dougiemasta popote ulipo!!! 
Na huu ni ushauri kutoka kwakwe kwenda kwa babaa ya ''project''
Zari & Diamond In the ''project''


Mmmmh... mwenyewe kasema ataendelea... Hahahahaaa!!! Bila shaka Diamond unavyosomaga pamoja na hizo comments za mashabiki roho itakuwa inakudunda!!! Hahahahaa, ila tuu unajikaza maana wewe mwanaume eeeh??!!

Ghafla nae Diamond akaamua kufunguka hiviiii... Akijua hata watu watamuonea huruma kidogo kuwa kaachwa yeye... Kumbe kajisahau kuwa hapo anajishaua (hataki nataka) Hahahaa!!
 
 Alizodolewajeeee....

Nae Madame akajibu mapigo...
 Watu weweeee... wera weraaa!!! Hahahahaaa...

Yaani kwa Team Wema wao kila anachoandika Diamond lazima wamzodoe, na atakachoandika Wema full kumpaisha... Hahahahahaa!!!!

Hayo ndiyo yanayoendelea huko Instagram!!
Follow me @flowerhenry7 Uni'tag pale unapoona sagger linaendelea na twende pamoja na mapicha'picha!!!


XOXO!!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT