PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, August 26, 2014

FOR MY AMAZING SISTERS....

Hey darlings!!
Habari zenu.. Am good, healthy and blessed kweli namshukuru Mungu... 
Kila siku Mungu give me something to be thankful, and leo am thankful for my sisters.. 

Yaani namshukuru sana Mungu kwa kunipa a lot of sisters... maana ninao wengi alafu wote wa ukweliii...
Me & my baby'sisy Deborah!! 2013
 In utoto age, you dont value the sister hood bond, ila unapokuwa in your 20's ndio unaona dah!!!what could i do without my sisters??!!
Mie (mzazi wa Faith apo) with my sisy Ruth a.k.a Mama Baraka,She came to help me out with uzazi wa Faith!!

Eve helped me out with ubatizo wa Faith
After my second born (FAITH) sasa me and my sisters ndio we are close than ever...

Zayrose & Eve came kunitoa uzazi wa Faith...lol!! Walini'spoil hadi natamani nirudishe siku nyuma...Hahahaaa
Mzazi got spoiled...lol
Yaani we are in everything together... we are bonding in a special way.. We love what we have!

Zayrose, me & Eve...Iringa by Night!!
Hao ni baadhi tuu ya sisters nilio nao... another day Mungu akipenda nitawaweka wengine.... Let's be thankfull for our sisters...



Love u...
XOXO!!! 

1 comment:

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT