PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Wednesday, January 14, 2015

BEHIND THE SCENE...

Dolls..
You dont need a whole day to keep'up your beauty.. And never the less pia you dont need millions to look pretty!!
Mie I spent my day at Gf Min-Depot and I still got a time to do my nails, just for tshs.5,000/= Elfu tano tuu na vocha yako ya kumuita mpaka rangi, baaaaaasssssiiiii...
Unakuwa mrembo and still waendelea ku'make your BIG BIG BIG MONEY (In Zari's voice) Isn'nt that beautiful?!

Kama upo Iringa mjini, upo busy na kazi, no time to go for pedcure/mancure basi ni'check wassap 0753 891 997 nikupatie namba ya kupewa huduma hizo!!

Mwanamke urembo banaaa, natural tuiachie misitu!!!

Mie nikiwa Gf Min-Depot ndio huwa na'chill hapa..

I realy hate this picture,mmeona why I hate it??? Hahahahahaaaa...

Bora hii nimejificha na mikono..lol

I love this one... Aya sasa hapo namsubiria mkaka wa kunitengeneza kucha.. That's my real life... No fake life here!!!


Me, waiting for mkaka wa kucha...

..........
Amewasili...


Yeah, leo I do Red...










It's well done just for pesa kidogo tuu...

Sasa apo mie nimewapa hadi ''behind the scene'' ya ninavyotengenezaga kucha zangu(no fake life here) yaani ndio ivo tuu kikawaidaaaa but nikitoka apo nilivyopendeza niki'post niseme nimetengeneza '******" (ingawaje siwezi wadanganya ivooo) kwa bei zao zile za 35,000 tuu kucha za mikono,mtanitamanijeeeeee...mtalala njee mkiniwaza hadi na nyie mkatengeneze huko... Mtatafuta new ATM's chata mtu hadi mkome, kisa tuu muweze kutengeneza kucha kama Gf.. 
Dont act like Boss-Ladies banaaa act like Madame Directors.. Live your life and be proud of it...
 hahahahaaa!!! 
Wewe unayetaka uwe smart na ung'are kama Boss Lady kwa budget yake ya social media wala hujui kama ni kweli vyake au vya kuazima ndio utaishia kuumbuliwa mwisho wa siku kama wifi yetu...
(Yeuwiiii,sasa my lips are sild, simsemi tena wifi, anty akizaliwa asijenichukia bureee)
Live your life vile ulivyobarikiwa, usitamani maisha ya mtu mitandaoni maana wengi wao live fake life on social networks... 
Mashallar mie naridhika nilivyonavyo na na'struggle kila siku kihalali to get more BIG,BIG,BIG MONEY( In wifi's voice)... Hahahahahahaaa!!
Sitaki aibu za Hudda & Zari

Iyo ya mwisho kumsema...mmmh..my lips are sild!!!


Nawapendaaaa, I love you guys!!!

XOXO...

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT