PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Wednesday, January 7, 2015

BOSS LADY Vs KING LAWRENC

Dolls...
As I promised, siongelei issue ya ''project'' hadi ije kivingine... Hahahahahahaaaa.... Sasa leo imekuja na sura pamoja na shape mpya kabisaaaaa!!!

Ni vita kati ya wifi yetu (Zari) yaani mpenzi wa kaka (Diamond) Vs shemeji yake (mdogo wa Ivan)
Wasiomjua Ivan ndio mtalaka wa Zari, ndiye baba wa watoto watatu wa kiume wa wifi yetu na ndiye business partner wa Zari (As the part of their divorce agreements ni kwamba wana'share mali zao pamoja) Mmmmh!!!

Aya sasa turudi kwenye point yetu...
Yaani huko Instagram na Facebook ni full maneno moto moto...
Alianza Lawrenc(mdogo wake Ivan) kutetea haki za watoto wa Zari kama hiviii...
 Sema ukweli mimi am Zari's fan, yaani ukweli nampenda sana Zari ila nilijisikia vibaya sana siku alipost eti ni birthday ya mwanae then yeye anamsindikiza Diamond sijui Rwanda, mmmh... but alisema akirudi atamfanyia bonge la party so nikawa mpole nikaona atleast atamfariji mtoto...
Ila hadi sasa bado sijaisikia hiyo party, ndio kwanzaaa juzi alikuwa tena bongo... Kiruuuu!!!
So hapa Lawrenc alivyopost nikasema safi sana, sometimes we need people like him ili watukumbushe majukumu yetu..

Ila sasa.. nikaja kushangazwa na post ya Zari, yaani ni majibu ambayo yanaonyesha kabisaaaa yana reaction ya kukasirika, kudharau na kujishuku...
(Zari tunayemjuaga kwanza hata hii post asingemjibu, kweli mapenzi yana nguvu, hahahahaaa)

Jibu la Zari ndio hiloooo.....


Keleuwiiiiii... Nadhani shemeji wa wifi kuona hilo jibu kaitwa dereva (Wakati anajiweza hadi amefikia level ya kuwa ''boy-friend'' wa BossLady Wa Kenya Huddah, hahahahaa) roho ilimchafukaaaa!!! Akili ikamrukaaaa!!! Akacharukwaaa....

Akaanza kuonyesha na yeye jeuri ya pesa!!!
 
Hapo sasa Zari akaona ''beiby'' kadhalilishwa so nae aka'post something kuwa jamaa ni gay, anahitaji wife and bla blaaasss!!!

Keleuwiiii, shemeji wa wifi akarudi na hili... Full evidence za Zari akimuomba hela..
Jamaniii shemeji wa wifi, kwanini lakini umemfanyia wifi yetu mambo za aibu hivi...

Hapo wifi akaona kuna mengi yata'postiwa aisee, akasema "kweli when they see you happy they start to hate you'' then akakaa zake kimya kuepusha shari!!

Hapo hajui Lawrenc ndio kashayavulia maji nguo!!!
Akatoa final offer.... 


Kimya kikaendelea sasa akaamua kumwaga mchele kwenye banda la kuku kabisaaaaaa!!! 
Haaaa, yaani kajitoa ufahamu etiiii

 

Nasikia na Clip za aibu zaidi zipo njiani ku'postiwa If Zari wont go back to take care of her boys na aachane na Diamond kwa gharama yoyote!!


 NB: Sitaki kujua kama you are thinking what I also think, hahahahaa... Huyu shemeji wa wifi siku zote alikuwa wapi asimzodoe Zari???? Na Zari anasema when you are happy ndio wanaanza kumchukia, kwani kuna siku Zari posted she is not happy??? Aiseee, mimi ninavyojua If mkiwa wapenzi na mtu,mkaachana alafu akaona ume'move on happily ndio anaweza akaanza kukuchukia... Sasa Jeee, ni kweli Zari alikuwa ana uhusiano wa kimapenzi na shemeji yake??? (Keleuwiiiiiiiiiii....)
Au ni Ivan anatumia account ya mdogo wake kumchafua wifi yetu????
Maana haya yote ukiyasoma kiustaarabu lazima ugundue posts za Lawrenc ni za kumchafua Zari na anazipost akiwa na wivu uliochanganyikana na uchungu wa mapenzi, si bureee aise!!!! Kuna kituuuu....
Alafu pengine zile hela alizoomba Zari zilikuwa zinatoka kwa Ivan eeeh??? 

Uuuuuwiiiii, hadi hapo jamani mie ndimu zangu nishazimaliza, maana nimezilamba mwanzo mwishoooo.. Ngoja sasa niwahi sokoni niongeze na malimao, na ndimu ya unga na vinegar pia!!!
Hahahahaa...

Msisahau birthday inaendela the whole week eeeh... Na Cake bado ipo so karibuni woteee!!!
 
Nawapenda sana sana sanaaa!!!
XOXO..

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT