PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Sunday, January 25, 2015

OUT & ABOUT...

Hey dears...
Habari za Jumapili?! Mine was great... Namshukuru Mungu mie na familia yangu tumekuwa na siku yenye furaha sana leo, and the best part of my day ni kulala hadi saa saba mchana,hahahaaaa..
Yeah, after a very busy week what else should I wish to do in this beautiful Sunday???!!!

By the way, jana nilikuwa kwenye Send-off party of my friend so I slept late.. Hiyo pia ni reason ya kuchelewa kuamka sana leo..
Nilikuwa na'feel like going out ila my F-Babies are all over me...wanataka tucheze wote, tuangalie cartoons and tupige stories...

How can I refuse such a sweet proposal from my angels then???!!!

Ikabidi niwe mpole, tuchezeeee na tufanye wanavyotaka wao..
Finally wote (daddy and babies) wamelala, my Telemundo nayo inarudia rudia tuu tamthilia so nimebaki very idle...
Thank God I have you guys mnani'keep busy here... You all make my Sunday so very wonderfull..

Was still think of mtoko and I remember my last week'end look of mtoko.. Nilitokelezea ki'portableKibonge.. Eeeeh, utaelewa tuu iyo size ni gani maana kwenye u'portable sipo na kwenye ubonge sipo...

How could I forget to share with you these sexy pics of me???!!! Aaaah,labda kwa vile I took so many pictures resently, hadi nyingine najisahau kama nimeshazi'post or not.... 

Enjoy!!! 'out and about' look!!!
 
 Mama'ake F-Babies...
 Who says ''mommy'' cant look sexy?? (In Zari's voice) Hahahahaa!!!
Muke ya Fred...
Hapo nilikuwa na ulinzi mkaliii, sikubanduka mkononi hadi narudi home duuuuu... was so sooo lovely outing!!!

 Heeee!! Umbea kidogo, talking about Zari.. Eti she is not pregnant!!! Ile ultrasound aliyoweka kaka was just an application, anyone can download and aonekane pregooo!!! Hahahahaa, makubwaaa basiii, ebu tusubirie more ndimu wapenzi wa mie,miezi tisa sio mingi mbona....


Nawapenda sana zaidi ya sana!!
XOXO...

1 comment:

  1. Hahahaaa Chezea mamkubwa umependeza G Mwaya

    ReplyDelete

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT