PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Saturday, April 4, 2015

DIAMON & ZARI WAFUNGA NDOA...

Hellow dears,
Hii ni suprise ya kimya kimya.... 

So kwa mujibu wa iyo caption ya kaka Diamond ni kwamba tayari wameshafunga ndoa eeeh??? Au ndio maandalizi yale ya 1st May kama walivyokuwaga wanatukumbusha to save the date????

Mmmh,ila maandalizi  kweli na hapa ni kama wapo saluni sijui??? Hahahaaa... Hii ni kitu na box tayari aisee, nimeipenda hii ya kimya kimya


Kama tayari ndio ndoa aisee mie kiroho safi kabisaa nawapongeza sana sana kwa maamuzi magumu waliyoyachukua, may good Lord awe pamoja nao katika maisha yao mapya ya ndoa, wapunguze tuu drama sasa na wifi awe makini isijemkuta talaka ya awamu ya pili..
Really blessed yaani na mmependeza hatareee...

 Maoni ya King.. Hahahaha

Nina uhakika 100% kaka alishindwa kutulambisha ndimu mapema kwa hili tukio maana alijua kwanza kila mtu anamuonea huruma aiseeee, akaona bora ajilipue kimya kimya... Hahahaa...
Maana sipati picha kama two days before hii ndoa angetupa taarifa kuwa Good friday ni ndoa yangu namuoa Zari.. Uuuuuwiiii, Instagram ingecollapse, hahahaaa... watu wangechamba, wangetukana, wangekuja na ma'evidence kibao hadi ndoa ingeahirishwa..

Good try kaka, kimya kimya ndio mpango mzima ila kiukweli wengi tunakuonea huruma.. yaani tunakusikitikia...
Please mnielewe one thing, I am not Team Wema, wala sitaki Diamond amuoe Wema (kwanza hana hadhi ya kuwa na Wema banaa) Ila dah... Kumuoa Zari mie kwa upande wangu haijakaa sawa kabisaaa....

 Ila ndoa za siku izi ni za kidigital, labda mie mshamba ndio maana naona kama haijakaa sawa eeh??!! Hahahaaa.. Mie I dated my hubby tokea nikiwa Secondary, yaani with him nimepitia kila purukushani la life na hadi ninapokubali kuolewa nae yaani nilikuwa namjua good side yake na bad side yake ipoje.. Same to yeye pia alinijua nipoje kwa kila hali, maana si mnajua mapenzi yakiwa mapya mapya jamani hamuwezi hata kufanya mambo ya ajabu, tabia zako mbovu zoteee unazificha mpenzi asizione ila tabia ni kama ngozi yaani haiishagi na huwezi kuwa separate nayo, kama ni tabia yako yaani utapretend for months tuu then utajisahau... Ila you cant pretend to be nice for years..
Atleast Diamond na Zari wange'date for one year tena sio long distance relationship... Apo ingekuwa sawa kuoana!!

Kwa hii long distance relationship yao alafu dakika mbili ndoa,hahahahaaaa... Hawezi kutulambisha ndimu weweee, mwenyewe anajua zitamrudi soon!!

I am sure Diamond hajamjua bado Zari in both sides, wala Zari bado hajamjua mtoto wa tandale kiivyo hadi kuwa mume... Heeee, watu kukutana tuu kwenye ndege na kuanza kupiga selfie mara project, mara mimba Hahahahaaaaa....

Imagine hata ile project ya wimbo waliosema wanarecord bado haujatoka eti tayari mke na mume, nyoooo!!! Mnaigiza ndoa nyie... Hakunaga kama iyoooo!!! Bora tuu mngezaa then mjipe some time hata mjuane mnakuwa vipi mkiwa with no make ups?? Mnapendana hata mkiwa hamna hela??? Vipi swala la ndugu zenu hata wanajuana??? Au ndio kuonana tuu Instagram kuwa this is my mama and sisters???

Jamani mie sio mzoefu wala sio kungwi ila kwa hii experience ya miaka nane ya ndoa niliyonayo (Hapo sijahesabu ile miaka ya ku'date) aisee nawaonea huruma maana ni bonge la mistake Diamond na Zari wamefanya kwa kuharakisha sana kuoana...

Kiukweli kabisa siwaombei mabaya ila nawaombea nyie muwe watu wa kwanza kuishi pamoja milele baada ya kujuana kwa miezi michache tuu na kufunga ndoa!!!

Hata mngeiga basi mfano kwa hawa wanandoa wapya... Google Mengi na Jackline walianza ku'date mwaka gani then utajua what I meant nikisema kuwa mmewahi sanaaa

Tena kama ndoa ingekuwa ndio ya kuharakisha ivo basi angeharakishaga Mengi maana age imeenda, sasa wewe kaka ndio kwanza miaka 25 sijui 26, haraka ya nini??? Unaona sifa kuitwa mume wa mtu eeeh??? Hahahaaaa.. unatia huruma kiukweli

Hongera Mr & Mrs Mengi..

Talking about being blessed aisee huyu mdada is very blessed, kina wifi mtasubiri sana.. Hahahaaa, natania bana hata wifi is seriously blessed..
Si mnajua blessings zina classes eeeh??? Sasa kama wifi yupo blessed class C, Jacqline yeye yupo blessed class A plus.. Hahahahaaaa...

Happy Holidays My Dears,
Nawapenda..
XOXO

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT