PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, April 14, 2015

SHIKAMOO ''MAHABA-NIKOMESHEEE'' YA WABONGO.....

Hello wapendwa,
Habari za leo.. It's easy Tuesday and leo I took a day off-work ili tuu nipumzike...
Katika mapumziko yangu leo ebu tupige story kidogo... Ama nenee??!!!

Kama mlikuwa hamjui basi leo niwaambie aisee mie ni mpenzi wa movie, tamthilia, maigizo na series.. Yaani nafatiliaga ivo vitu hadi najionaga nakuwa chizi sometimes, ukiona CD na DVD zangu utadhani mie wakala wa step1-entertainment.. 

Na most of them all napendaga sana kuangalia za kizungu, kikorea, kihindi na wale wa Telemundo jameni nimewasahau ni wa nini sijui... Sijui waspaniola wale,mmmh.. Au wafaransa?? Ila wana mahaba niuwe hatareeee..

Na ukiona mie nimenunua movie ya wa bongo basi ujue kuna star ninayempenda, otherwise za kibongo sio kivileee... 

Na kati ya mastar wa bongo wanaonifanya nininue CD ukiachana na wale wapenzi wa kila mtu kama Wema, Uwoya, Wolper, Rihama, Lulu, Anty, JB n.k aisee mimi pia navutiwa na Shamsa Ford, yeah..yaani nampendaga sana akiwa anaigiza!!!

Nadhani wengi wetu pia mnamjua Shamsa eeeh???
Kama humjui basi ndio huyu apo akiwa na x-mume wake just two months ago...


Shamsa alikuwa mke wa Dick na ni mama wa mtoto mmoja anaitwa Terry, alikuwa na familia yake ambayo kiukweli ilikuwa ni ya kutamanisha...
Seriously mimi kama mimi nilikuwa nawaona wanapendana sana sana... 


Imagne mume anaku'post hivi on social networks..... Uuuuwi, shikamoo mahaba, naye bibie pia alikuwa anam'post ila sasa kazifuta post zote za mume, aaah sorry x-mume!!

Jamani isn't that love????

Watu kibao walikuwa wanawatamani yaani...

Mie naona kama Shamsa alikuwa ana bahati sana aisee, kuonyeshwa mahaba yote hayo on Instagram... Nyumbani si ndio yanazidi hadi unachanganyikiwa???
Wengine uki'postiwa ujue it's either your birthday, anniversary ama kuna something special ndio uta'postiwa on social network, hahahahaaa... vitu vingine mnamalizana tuu home then atakupa kisingizio kuwa he is too busy to post pictures kwa social networks, hahahahaaa...
(wakati yupoje busy kusoma posts za watu, sasa sijui kwanini anaweza kusoma posts za watu ila he cant post your picture)

My hubby nae anasemaga it's so girlish ku'post post picha, haaaa??!! Kwa his facebook page ukikuta my picha amepost yeye it's either ni my birthday au other special thing.. Kwa his Insta page ndio hana hata picha moja, lol... Kwanza akiwa busy na simu it's either yupo JamiiForum au group charts na vitu vyake vingine private... Nakuwa tuu mpole maana atleast mie nawekwaga in a profile photo ya wassap, hahahahahaaa!!!

Ila kwa upande wangu, it's lovely mpenzi wako akiku'post bana on social networks, hata once per miezi sita... It's realy nice!! Unajiona wewe ndio wewe even if mpo foleni, au sio??!! Unajiona wewe ndio the best of them all...  

Najua wote mmeshasikia kuwa Shamsa pamoja na mahaba nikomeshe yote hayo jamani ameachana na mumewe...
Hili la kuachana linasikitisha ila kinachosikitisha zaidi ni kuwa eti ghafla tuu yupo na Ney wa mitego???
Kiruuuuu, mbona mahaba niuwe ya wabongo ni zaidi ya wachina??? Hahahahaaaa... Ivi inakuwaje dakika mbili tuu mtu upo na huyo then dakika sifuri upo na mwingine tena mapenzi moto moto as if mmetoana mbaaaliiii.....
Aiseeee, hata huyu shosti nae haelewi kabisaaa... Mie nilijua labda mie ni ushamba wangu tuu mae, Keleuwiii, sipati picha mie na kiherehere changu cha kum'post my hubby hata nikiletewa zawadi iliyoushtua moyo wangu basi nitam'post my mume from facebook, Instagram and everywhere possible, hahahahahaaaa... Hapo ujue ni kazawadi kamenifurahisha... 
Ivi siku ikitokea tumeachana(HAITATOKEA KWA JINA LA YESU) ivi naanzaje tena kum'post huyo mtu mwingine ghafla??? Aisee nitaona aibu, hahahahaa.... Aibu yangu itakuwa kubwa sana so nitakaa kimyaaaaaaa, nitafunga hadi facebook account yangu na Insta page pia maana kuzi'delete picha zake itanichukua muda mrefuuu, bora kufungua new account tuu.. maana kajaa kila kona... Hahahahaa!!
Shamsa my dear ivi wewe huoni hata aibu???? 

Tena mbaya zaidi eti unasema x-mume wako alikuwa anakunyanyasa ndio maana mkaachana.. Jamani ivi inakuwaje mtu anakunyanyasa alafu anaku'post na mahaba niuwe na wewe unamjibu kimapenzi hadi mnatutamanisha wenzenu na sie tunawanunia wapenzi wetu watu'post????

Mtu anakunyanyasa alafu unampa bichwa kuwa unampenda in public kabisaaa, kiruuuu... Mie ningeshindwa aiseee, yaani umeninyanyasa then ghafla umeni'post... ningejitahidi saaaana basi ningekaa tuu kimya nisikujibu.. Ila ukinikuta na akili zangu za usiku, oooh... unge'delete posts zote na usingekaa uni'post tena maisha yako!!!

Hiyo tuu ya kumjibu kimapenzi inaonyesha wazi kuwa ulikuwa hujanyanyaswa wewe!!! Iyo ni gear tuu ya kutufanya tuone ni sawa kuwa na Ney ila kwa upande wangu aiseee umechemka, tena umechemka pakubwa sana!!

Huo ni mtazamo wangu tuu.. Simshauri arudiane na mumewe wala nini... Yeye ndio mwenye maamuzi ya mwisho, ila asitufanye sie watoto bana, eti tumeachana muda mrefu maana alikuwa ananinyanyasa sana, nimevumilia nimeshindwa, aaaah wapi??!!!
Pia kumbuka Ney nae alishasemaga kuoa haiwezekani... Sasa sijui unakuwaje na mahusiano na mtu ambae hana future na wewe... 
Bora x-girlfriend wa Ney yeye alishajua kabisa hapo hapana ramani akijitafutia ustaarabu wake mapemaaaa... hahahaaaaa!!!
Kwa wasiomjua x-girlfriend wa Ney.. Anaitwa Siwema, ni mama wa mtoto mmoja pia.. (Mtoto amezaa na Ney, DNA ili'proove baada ya Siwema kusema mtoto sio wa Ney)

Ila Ney naeeee (In Jay millionea's voice) unawezaje toka from Siwema to Samsha??? Hahahahaaa...
Sijasema kuwa Samsha sio mrembo, no... Ila, seriously!!!! 

Mie I cant go from Siwema to Shamsa, hajamuona mwenzake kaka au??? Unatakiwa unatoka level kubwa kwenda level kubwa zaidi, ama neneeee???!!! Hahahahaaaaa



Huyo ndio Siwema, mdada fashionista flani iviiii... Amazing!!!


 

Oooops... Shikamoo mahaba niuwe ya wabongo... From now on mie nitaanza kuwaonyesha mahaba chinja chinja ya kifilipino, hahahaaaa...Maana haya ya kibongo bongo yana'expire muda mfupi sana aisee!! (Just kidding)




Have a very productive day everybody...
xoxo!!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT