PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Thursday, April 16, 2015

SHAMSA FORD Vs SIWEMA....

Dolls,
Yaani leo nipo busy hatareee ila nimeona aisee huu ubuyu usitupite hivi ivi..lol
Ivi si juzi tuu nilikuwa namshangaa mama Terry (Shamsa) jamani???? Mdada wa bongo movie niliyekuwa nam'adore balaaa, ila akani'dissapoint zaidi ya maelezo!!!
Shamsa kuachana na mume wake, for me haikuwa big dissapointment kama ya yeye kuwa na Ney wa mitego, uuuuwiiii... With all that classy and everything she got kweliiiiii, akaangukia kwa Ney??? Tena just few weeks baada ya kutoka kwenye mahaba niuwe ya Dick... Aiseee, as i said alichemka...

Nadhani leo ndio amepata picha on what the hell-relationship amejiingiza.. Hahahaaaaa... 
Leo Shamsa kalambishwa ndimu za kutosha, zilizokuwa mixed na pilipili manga na jira kwa mbaaali, hahahahahaaaaaaaa...

Ni baada ya ku'post picha yake na mwanae na kuandika maneno hayoooo...
Ila Shamsa bana naweeee, kwahiyo sie tuliozaa kwa operation sio mama bora????
Au sie ndio hatujui uchungu wa mzazi??? Mmmmh..... tena mie nahisi sie ndio tunaujua uchungu wa mzazi zaidi, maana after kuzaa still unauguza kidonda for months, and they say kuwa operation inachukua hata years kuwa healed.. tofauti na nyie mnao'push, siku mbili tatu tuu mpo fresh as before...

All in all, aisee hata kitendo cha kukaa na kiumbe tumboni miezi tisa, kunyonyesha, kukesha na mtoto usiku, to change dippers,etc ni sababu tosha ya kuujua uchungu...
So usukume au upasuliwe, yote sawa tuu...
Shamsa tena usitake kutuzingua, as long as umekuwa mama lazima uchungu uujue na lazima ujivunie kuwa mama bora.. Mmmxxxiu!!!
*****
Sasa baada ya Shamsa ku'post huo upuuzi wake hapo, heeee... Si ghafla mama Curtis (Siwema) nae akaibuka na ndimu mixture zake... Hahahahaaa

Akamalizaaaa....

Hahahahahahaaa... Huyu mdada alivyo mrembo sipati picha alivyokuwa anaandika hapo sijui alikuwa anasaidiwa na mtu??? Hahahahaa... mbona katoa ndimu nyingi ivoo?? Hahahahaa. Uuuuuwwwwiiiiii...


Najua Shamsa sasa umegundua kuwa you needed to chill kwanza uwe na uhakika na relationship unayoitaka after your mume kukunyanyasa(kwa mujibu wako)

Au ulivyokuwa unanyanyaswa na mumeo ulikuwa unatukanwa on social networks????? Jibu ni NO.. Maana on social networks sie tulikuwa tunakuona unapendwa hatareee...

Siwema bado ni binti mdogo sana compared to Shamsa, so sidhani kama ni sahihi kumtolea Shamsa maneno makali ivo on Instagram jamani.. Amemkosea heshima sana mdada wa watu, ila kwa njia moja au nyingine ni kama Shamsa kajitakia kukosewa heshima...
Huko Instagram watu wanamtukana, na hii ni mara ya kwanza tokea namfollow Shamsa kuona akitukanwa, most of posts zake watu wanamkubaligi hatareee,ila sasa ni full kuporomoshewa matusi....

If I were Shamsa aiseee ningejifikiria mara kumi kumi... Maana sometimes unajua watu wanaku'rate status yako kutokana na who are you with...
Mfano; Kaka Diamond alianza kupendwa hataree baada tuu ya kuanza kum'date Wema, uongo????
#Tatizo nyota....

Sasa Shamsa wewe endekeza mahaba nikomesheee ya tandaleeezzz then your life ndio litakuwa ivo ivo, ki'tandaleeezzzz zaidi!!!




Tufanye sasa kazi... hahahaaa!! Bye..
XOXO!!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT