PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Saturday, April 18, 2015

WE ARE BACK WITH LOTS LOTS OF FASHIONS FOR ALL OF YOU....

Hey dears...
Habari za leo, hope you are all well...

Wapendwa wateja wangu wa Boutique ya Iringa, najua mlikuwa mnapata tabu sana kunipata at Gf Boutique... We had some sort of breach of contract na land-lord wetu and family matters pia ziliingiliana so Gf Boutique haikuwa na msimamizi wa kueleweka kwa muda... Ila sasa all the matters are solved and we are back, tena kwa sasa tumerudi kwa kishindo... With all types of swagger kwa ma'fashionista wanaojielewa....



Ila sasa Gf Boutique haipo tena Opposite Crdb, pale kwa sasa ni saluni na Boutique imehamia Opposite na jengo jipya la chaula, stendi ya daladala za kihesa (Miyomboni).. Kwa ile barabara zinapotokea daladala, zamani ndio ilikuwa Gf Salun(Ukiwa pale zinapo'park tax ukiangalia juu bado kibao cha Gf salun kipo,bado hatujakibadilisha) hapo hapo ndio tulipohamia..
Ni jengo la Staff-inn (karibia na mlango wa fundi mwaluka) Ukiingia unakutana na viatu vingiii vimepangwa then mlango wa pili ndipo tulipo.. 


Dah, nimejitahidije kuwaelekezaaaaaa..... hahahaaaa, nahisi mmepaelewa eeeh???!!! Ila kama hujapaelewa bado usipate tabu, we nipigie tuu kwa 0753 891 997 ukiwa stendi ya miyomboni then nitakufata nikuonyeshe, sawa eeeh??!!!


The whole week nilikuwa busy na kuparekebisha ila leo tumefungua.. Ingawaje bado tunapanga panga, si mnajua tena kuhamia new place inachukua muda kukaa fresh.. Ila nawahakikishia mkifika mtapata a very quality service from mudada ya mujini, mrembo Eliza a.k.a mama Princes so you wont regret....


Karibuni sana... Mkaribishe na mwenzako, naye mwenzako umwambie amlete mwenzake, sawa eeeh???!!!

Nawapenda maana when it comes to mafashion mpoje vizuriiii, najua leo mtanifurahisha... Hahahhaaahaaa

Kuna kila aina ya top na vikoti...











Jump-suits hadi size za vibonge wenzangu pia zipo... (Nikivaa yangu nitawaonyesha ilivyo tamuuu)

Kitu kimoja ambacho nawapendea wateja wangu wa Iringa yaani nyie ni wazungu wa tabia... So, sina hofu kabisa na nyie, hata mkinikosa dukani najua still mtanipa feed-back mlivyopokelewa na mlivyohudumiwa... I just love you for that!!!

Napenda ushauri pia from you guys, maoni au hata kukosoa pia pale mtakapoona hapajakaa sawa, maana ndio tunapanga panga bado so tungefurahia kupata mtazamo wenu pia wapenzi wa mie...
#Watu wengine busy kupanga,wengine busy kuwapiga picha wenzao ndani ya dela swag.. hahahaaa!!!

Soon patakuwa patamuuuu zaidi ya kule kwa mwanzo....



Kama kawaida ya Gf, kwenye Boutiques hatunaga noumer na loans eeeh... Mkopo ruhusaaaa, ila isizidi four weeks, yaani mwezi mmoja uwe umelipa, Sawa eeeh??!! Hii ni kwa wale wateja wangu wa enzi na enzi...mteja mpya hapa utanisamehe... kazana na wewe uwe mzoefu then tutaona how itakuwa...










Kwa wale wa mikoani pia, feel free kunipa oda yako sasa maana I am seriously back... Use 0753 891 997 muda wowote ule utajibiwa... 

Pia kwa wateja wa Boutique ya Mbeya, soon tutahamia Mwanjelwa... Tupo kwenye ukarabati kwa sasa then tukishafungua tuu nitawapa taarifa.. (ingawaje kule kwa mwanzo bado tutakuwepo hadi mwisho wa mwezi wa huu)

Asanteni sana kwa all your support, mie bila nyie ni sawa na kukosa oxygen... Cant survive without you guys, so pleaseee mkuje tupendezeeee, ama nenee??!!!



Nawapenda and i realy mean that!!!
XOXO..

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT