PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Saturday, April 18, 2015

FOUR DOWN, FOUR TO GO....

Darlings....
Hope mpo pouwa na mnaendelea na wee'end fresh...

Since now nimepungua naweza sasa kuwaambia niliongeza hadi nikawa kilo ngapi... hahahahaaa... last time nilikuwa hadi naona aibu kuzitaja, ila leo nawaambia tuu... lol...

Si mnakumbuka nilishafikisha 79kgs eeeh, from 94kgs nilijitahidi hadi nikafika 79kgs...
Dears, haikuwa kazi rahisi... It was realy hard maana i was starving myself hadi nikaanza kuumwa tumbo... I went to Doctor, akaniambia it's ulcers...so sitakiwi nikae na njaa, dah!! Niliogopa sana and nikaanza kula kwa speed, kuja kujishtukia kuwa I over-eat nikawa nipo 96kgs, it was November last year nahisi, hapo sasa ndio nilikuwa najisikia kama kamzigo yaani, hata kupiga picha nikapunguza speed, nilikuwa napata sana tabu what to wear!!

Nikaanza tena ''gabbage juice'' diet...in two months nikapunguza 4kgs, nikawa 92kgs...
Nikawa sasa naendelea na gabbage juice diet from mwezi February hadi sasa bado nakunya cabbage juice twice a week... Yaani Tuesday and Fridays sili breakfast na dinner, nashindia gabbage juice na i eat only lunch...
Hapo nikiacha tuu one week sijanywa gabbage juice najisikia kabisaaa naongezeka  hadi nikaanza kulalamika ina maana diets are meant kuwa forever tasks ama???

Last month nikajitahidi nikafikisha 88kgs, nikaanza na mazoezi kidogo, maana nikaona diet tuu inanifanya mtumwa, coz huwa najitahidi kweli napungua, ila nikiacha tuu few days narudia unene...mazoezi wala sifanyi saaana, kidogo tuu ila nahakikisha nime'sweat...
Juzi jumatano 15.04.2015 nimepima tena nimejikuta nina 84kgs... I am sooooo very happy!!!

And this is my body In 84kgs sasa, sipati picha nikiwa 80 au in 70's kabisaaaa... Hahahahaaa

Najipenda nikiwa ivo... Aaaaw!!!


Ila bado sijajua why i lost kilo nne nne... 


Mmmmmh, sasa nianze kuongeza speed ya mazoezi ili zipungue hata 7kgs per month jamani??? Hahahahahaaaaaa....

 
Nafurahi sana, hata izo 4kgs tuu ni hatua kubwa mnoooo.. Sasa next month nataka niwe 80kgs ili by June niwe natoka kabisaaa kwenye 80s nianze ku'maintain 70's.... 

Wala sijaingiza tumbo ndani hapo, ni kitu kimeanza kuwa flat flani iviii... Amaizingggg!!!





Thank you all for your time...
Stay blessed,

xoxo!!

2 comments:

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT