PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Sunday, September 14, 2014

ABOUT LAST NIGHT....

Happy Sunday dears...
Hope wote mpo pouwa kabisaa, mnamalizia malizia week end kwa raha zenu.. That's soo good. 
Mie nipo fine, having a very relaxing time leo, maana i have been more than busy the whole week... Thank you God kwa u'busy wenye faida.. Hahahaaa!!
 Baada ya u'busy huo wenye faida, finally nilipata bahati ya kwenda kula kuku mahali...
Seriously, huo mtoko wa jana was wa watu wanaojielewa tuuuuu, yaani no mapurukushani, no mavurugu, no ma'wivu, no majungu... Ni ku'change ideas, ku'discuss possitive things, kupeana ma'deal ya maana ya kusaka pesa, kula na kunywa na kusaza.... Wish i had my mpiga picha with me there.. Hahahaaa...lol
But si mnanijua siwezi kuwaacha patupu, before sijatoka home my mpiga picha anayeogopa camera alifanya yake...hahahaaa,, Thanx girl, utaizoea tuu hiyo camera my dear..
Ni picha za usiku so mwanga ni hafifu and macho yana'reflect flash so msi'panic...
And this was my last night look...
People who succeed have momentum. As we start to succeed, the more we want to succeed, and the more we find a way to succeed more!!

If you don’t build your dream, someone else will hire you to help them build theirs!!

I surround myself with people who feed my mind with new ideas, motivation, and positivity.

If you love what you do, you must be successful...

Behind Every Successful Woman there is Herself...

Flawless.... Dressed For Success!!!
Love you all,
XOXO...

2 comments:

  1. Looh hapa ulienda wapi hujaniambia?? Ila umenoga hehe mi lv u sanajeee

    ReplyDelete
  2. ulipendeza sana kama kawaida yako

    ReplyDelete

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT