PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Sunday, September 7, 2014

HAPPY SUNDAY....

Hellow lovies....
It's Sunday, beautiful day and i love it... Hope you all love Sundays eeh?! 
Yeah... It's a relaxing sunday and nimeona nimlete kwenu my fashionista... my baby girl... Faith!!!
nimeona hizi pics sikuzitendea haki aisee...they are a must seen kwa kweliiii
Roho yangu mie....
Shostito wangu wa ukweli....
My totoo...
Stylish kiddo...
Aaaaw.....
Umemsoma lakini apo??!! Hahahaaa..Faith!!!
One word... Perfection!!!!
Love u & u......
XOXO!!!

5 comments:

  1. gf, kwanza ongera kwa kumjali mwanao kwani ana afya sana na anapiga mapigo ya maana lakini kwann una upendeleo? mbona kila cku wa kike 2 kwan wa kiume sio wako wa kumzaa? yy afya yake sio nzur na pia humuweki picha zake kama uyo mwenzake. au yy hana mapigo? unajipendelea tuu wewe na uyo wa kike mwenzia kwann? samaani km nimekuuzi lakini jirekebishe dada,mtoto wa mwenzako ni sawa na wako. Mkereketwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eti mkereketwa Hahahaaa we msenge kweli wewe wakwako yuko wapi uliyemuweka?? Maisha yako yanakushinda unakuja kutolea stress kwa wenzako. Tena ukome na uwaache watoto wa watu. Mxieeeeeww

      Delete
  2. nilisaau pia gf,fashion za watoto wa kiume sio nyingi kama za wa kike au ndio maana humpigi picha uyo wa kiume?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hee we umetumwa vipi? Kama huna cha kuandika pita kushoto mwee. Gf anajiamini kawaweka wakwake wewe wa kwako wako wapi? Grow up

      Delete
  3. hahahahaa... nimekutangazia msamaha, maana sipati picha ulivyoishiwa pozi sa'ivii.. hadi nimekuonea huruma .lol.. My wapenzi plz msameheni bure sasa, maana mmecharuka eeh?!
    Please, upuuzi wako uwe una'comment kunihusu mie na sio my kids...sawa eeh?! @Mkereketwa

    ReplyDelete

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT