PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Thursday, September 25, 2014

MY DEBORAH IS IN TOWN...

Happy people...
Habari zenu.. mie nipo pouwa kabisaa... And here is my one and only Deborah... She is a sweet'heart eeh?? Yaani she is lovely, kweli ameona asiende chuo before hajaja kunisalimia. Debby, am greatful..yaani nakosa hata cha kuandika mdogo'angu mie... Thank you sana, May God give you all your heart's desires and akufungulie milango pamoja na madirisha ya baraka, utimize ndoto zako zote hata zile ambazo you haven't dream yet!!!
Nimefurahiiii... And you know when am happy naweza nika'blog the whole day... Hahahaa!!!
Kiruuuu, tukasake pesa now then badae ni kutumia tuu mie na mdogo wangu leo hakuna kulala, kula bata hadi kuku waandamane....
Mie na mdogo'angu..

I just love the colour comb plus her sence of style!!!
The boots... na mie nazitaka zangu Debby, kama hizo eeh?!
In deep love with back details of that peplum top!!!
Uuuuw... Shape kama sio Mchagga mwenzangu.. Kiruuu!! Niende JKT mie...


I love you Debby...

Lovely day to you all....
XOXO!!!

3 comments:

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT