PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, September 2, 2014

I LOVE YOU FLORA MBASHA...

Dolls...
Ebu please read this, yaani hapo mie nimempenda Florah bureeeee.....
"Mwanamuziki mahiri wa nyimbo za injili nchini Tanzania Flora Mbasha safari hii ameachia wimbo wake mpya kabisa wa nguvu  wenye Jina "Nipe Nguvu" ambao mpangilio wake wa ala za  muziki pamoja na Sauti maridadi ya mwimbaji huyo imeufanya wimbo huo kuanza kushika kasi ya ajabu na kupendwa masikioni mwa maelfu ya watu mara tuu baada ya kuachiwa kwa wimbo huo" 
Sikiliza "Nipe Nguvu" By Florah Mbasha
Kweli kabisa Florah sasa you proved kuwa you dont have to play masculine to be a strong woman... Piga kazi mamito, wacha watu waongeeee, wewe saka pesa!! 
When there is a strong woman character in a story, that always grabs me!!! Hahahaaa
Florah, you are a strong woman in deed... God Bless U!
Cheers!
XOXO 

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT