PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Sunday, September 21, 2014

TANZANIAN HANDSOME BOY - IDRIS AT THE BIG BROTHER AFRICA 2014

Wapendwa wangu!!
Ule msimu mpya wa Big Brother Africa ndio karibia unaanza.. And this time washiriki watakaa ndani ya jumba la Biggie for 63 days only na sio kama tulivyozoea 91 days....
Uzinduzi ni October 5th.... Nasubiria kwa hamu....

Mshiriki wetu mmoja tumeshamjua, Our handsome boy Idris. He is a photographer, filled with positive energy. Na mwenyewe kasema strategy yake ni ''He is hoping that his fellow housemates will turn to him when they want to be inspired or when they feel down.” Kiruuuu...ulivyo mzuri hivyo na hiyo strategy ya kuwa m'sweet kwa kila mtu, hope hautatuaibisha boy!!
 







 Mie nishakaa mkao wa ku'vote for Idris... Tuwe wazalendo jamani, wa'Tanzania tushikamane hizo USD 300,000 ziondoke na mtanzania mwenzetu.. We should make sure we support him to stay in the house till the end, no matter what tuwe nyuma yake... 
Ila alivyo mzuriii, uuuwiii... tumuweke katika maombi tuu..maana ni sheedar!!!

Tujiandae to vote for Idris,
XOXO!!!

3 comments:

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT