PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Wednesday, September 17, 2014

MY SALON MISSION ""NOT ACCOMPLISHED YET""

Hey...
That awkward moment... Unapofika salon na kukutana na hair styles kama kumi hivii and zote unazipenda... Kiruuuu, Juzi nilienda salon kusuka, nikakutana na hair styles nzurijeee, nikashindwa kuchagua ya kusukwa hadi nikaondoka tuu, eti nikajipa muda niwaze between hizo nataka ipi!!!
Jana mapemaaaa, nikachagua hizi styles hapa..... 
    

Style zote hizo natamani nizisuke sasa sijui nianze na ipi????!!!! Tukashauriana na my msusi nisuke ya kwanza, nikaenda kununua na rasta kabisaaaa.....
Natural tuiachie misitu..Nisuke vipi sasa???!!
 
Nimekaa to wait my turn, heee... si nikaona hizi styles hapa.... Hata kama nina mashavu jamani nimezipendaaaa...

         

Kiruuu... nataka hizi style mie... This is what i want.... Sasa my msusi kaniambia nikajifikirie tena then nirudi kesho mapema nikiwa na maamuzi... Hapa nishapitia kununua wiving kabisaaa... I want that style...
My salon mission is not accomplished tena leo, maana sometimes nahisi i need something comfortable, a little bit short and smart... Sitaki ma'purukushani kichwani ila nataka nipendeze jamani, nitoke bomba!!!
Hapa nawaza... Should I go for kusuka tuu style za kwanza??? Au nishonee wiving zilizonichanganya akili... Keleuwiiii....
Ebu nitumieni wassap jamani more hair styles...maana nina tamaa mimi hadi basiiii...
Am waiting, use 0753 891 997... Leo sasa itabidi nibaki tu natural (Kama misitu) then kesho morning nirudi tena salon nikiwa sasa na style moja... lol!!!

Am waiting....
XOXO!!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT