PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, September 16, 2014

SHIKAMOO J.K.T

Hey my wapenzi,
Hope wote mnamkumbuka my baby sisy Deborah... Our brightest sweet'heart tunaejivunia.. Hahahaa, kama humkumbuki please check her on the post of Saturday, May 31, 2014.... Bora um'check fresh kabisaa maana leo utamsahau, no more team kibonge, hivi sasa kawa ki'portable hadi I dare to say naomba huu utaratibu wa kuwapeleka wanafunzi Jeshi la Kujenga Taifa before hawajaenda chuo uendelee milele na milele.... 
Mie mwenyewe natamani niende JKT, maana hii diet miezi nane sasa ndio nimepunguza 9.5kgs... wakati Deborah its only 3months.... amekua ki'portable hadi namtamaniiii.... Seriously Debby umekuwa m'dada... Hadi nakuonea wivu...lol
Ebu na nyie muoneni Deborah alivyokuwa  baada ya kutoka Jeshini juzi jumapili....

From Kanembwa Kigoma With Love....
She is back....
 
She looks her age now!!!

Mmmmmwaaah!!!!
Mdogo'angu mie apa....

Kiruuuu,, she look good. Karibu uraiani mwaya!!
To Debby.
Please my dear, namjua mamaa atavyokuwa anakupa vinono sasa, chonde chonde my love, dont rudi ulipokuwa mwaya, mie hapa napataje tabu kujipunguza... Uliniona nilivyokuwa nahangaika na diet when you were here, imagne bado hadi sasa nahangaika nayo!!! Nakuonea wivu, natamani niwe ivo na mie... So, please try your level best to maintain that sexy body you got... maana ukinenepa jamani kujipunguza it's so very hard!!!!

Shikamoo J.K.T kwa zoezi mnalowapa watoto hadi wanakua vi'portable ivoooo, na mimi nipo njiani nakuja!!! Hahahaa

Love you all...
XOXO!!!

2 comments:

  1. hongera Debora kwa kwenda J.K.T. jitahidi huo mwili ubaki hivyo hivyo

    ReplyDelete
  2. baki ivo mdogo wake gf umependeza sana,manyama uzembe sio ishu,na mm naenda huko mwakani kwa kwl

    ReplyDelete

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT