PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Thursday, September 18, 2014

CLASSIC KIDS WEAR AVAILABLE....

Dears,
Habari za leo! Mie mzima kabisaa and leo nina habari njema kwa mommy wote wanaojielewa!!!! 
Jamani wapenzi wa mie, mjini mpango mzima ni kutoka bomba... Unaanza kupendeza wewe, wanao hadi nyumbani kwako, au sio???
Sasa due to nguo za ready'made (special) kuwa very common now we got to try mitumba grade A from Nairobi, yaani ni almost mpya kabisaaa... We got nguo za watoto wa kike na wa kiume Aged 1-10 years old... Nimesema ni nguo za Mitumba Grade One so zipo very unique, classic and lazima mwanao atoke bomba....
Haimaanishi tuache nguo za special, noooo... zile tuvae tuu ila when unataka mwanao awe kivyake vyake pleaseeee, all you need to do is call this number 0753 891 997 utapewa maelekezo zaidi, na wale wa mikoani pia tunawatumia....
Bei zetu ni pouwa sana!!!
Dresses, Shorts, Trousers, Vikoti vyoteeee ni tshs.15,000/= tuu. Tops na taits zotee ni tshs. 10,000/= tuu..... Kweli apo mwanao asipopendeza sasa basiiiiiiii.......

 
  
 
 
 

 Wapendwa hapo kila nguo ipo only one piece, so please uwahi kutoa oda yako mapemaaaa hapo ukipenda nguo, maana ikishauzwa huwezi ipata tena ya kufanana nayo.. Sawa eeh?!


 
 
 
 
 
 
 



Kumbuka kutoa oda faster kwa 0753 891 997...
 


 

Classic mitumba all the way from Nairobi ndio habari ya mujini!!! 

 
 

 Piece moja moja tuu jamani, tuchangamke kutoa oda, sintajisikia fresh kukujibu kuwa imeshauzwa... Hahahaaa... natamani mpate woteeeeeee.... Ila ndio mambo za ''unique swaggers'' lol


Baby boys sasa.... Wapi Mkereketwaaaaa??? Hahahaaa.. uje mwaya rafiki yangu usiogope maana hata sikujui...




Dah... naombeni niishie hapo kwa leo... Nguo ni nyingi na zote ni nzuriiii... Nitaendelea kuwapa uhondo next time, mje kwanza mnunue then mambo yaendeleeee... Hahahahaaa... Hata wale mnaopenda kula kwa macho, mje tuu... hata wassap kwa 0753 891 997 pia nitawapa uhondo wa more nguo...
KARIBUNI SANA.....

Tumeanza na za watoto kwanza, inshallah Mungu akipenda tutaleta na za wakubwa pia... Tuwe unique kidogo sometimes eeh??!! Muonekana wako peke yako kwa bei pouwa sana!!!!

It's all about kutoka bomba...
XOXO!!!

2 comments:

  1. ukauza kikoti wakati nilifanya buking.unapenda ela zaidi ya utu ww

    ReplyDelete

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT