PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Friday, September 12, 2014

MISSED YOU ALL....

Hey lovies...
How are you all?! Mie nipo pouwa sana... Missed you all these past few days, yaani nilikuwa busy hatariii but you were always in my prayers... Yes, i do pray for you guys everyday.. Kwa wale mnaoni'check through laptops/pc mtaweza kuungana na mie katika maombi kwenye frame ya "My Prayer For Today"
For those who use phones hamuwezi kuona but msijali, tupo pamoja kiroho. Shout Amen!!!
Tell you kitu, my new photo shooter is not arround so mnakosaje uhondo, maana si you all know when nikiamuaga kufululiza my photos??? Inakuaga ni daily dose, yaani ni bandika bandua.. Seriously, i must find permanent solution kwenye swala zima la kupigwa picha... Wapiga picha changamkieni tender faster... Hahahaaa!!! 
(Natania jamani, siwezi kuajiri mpiga picha,lol..not for now, labda badae sana..Maana isije ikawa kama ya mdada wa Gf Payment services, walikuwaje wengiiiii...Silalamiki!! nilifurahi sana and almost wote niliwapenda but nilitaka mmoja tuu, na sijutii kumchagua, she is doing exellent...I wish ninge'share with you picha but waliniomba nisi post and i respect them so siku'post anything about it.. labda nitamuomba Fatmah, if akikubali nitampiga picha akiwa anatoa huduma @Gf Payment Services then nitazi post..kama akikubali... lol)
Any ways, kwa sasa nina mpiga picha mwingine ambaye ni mwoga huyooo, anaogopa hadi anatetemeka akishika camera, hahahahaa!! mvumilie tuu maana najua nae atakua expert very soon.
My Friday Look was like this;
 At Gf Payment Services Office
Thinking...All this big office just for payments services tuu...lol!!!
Nailed it!!!
Keleuwiiiii...
Mie apa...
At Gf Payments Services Office....

Mamy akeee F-Babies!!!

Hapo ndio my new office ya Payments services, Tuna huduma zote za malipo... M-Pesa, Tigo-Pesa, Airtel-Money, Vocha za mitandao yote, Max-Malipo services (Luku,Motorvehicle,n.k)  
Karibuni sana!!!!
Office yetu seems to be very big bado for just Payments services, so tunapokea ushauri wa biashara gani nyingine inaweza ikawepo hapo and still isi'affect huduma za malipo??!!
I'll appreciate your advice and nitaufanyia kazi ushauri wa kila mtu mwenye mapendo mema with Gf.... 
Kwa ushauri please use 0753 891 997... Thank you In Advance!

Nawapenda wote...
XOXO!!!

2 comments:

  1. Itabidi uanze kuuza simu Hahahaaa. . U luk gud lv

    ReplyDelete
  2. eti eeeh??!! thanx kwa ushauri lov...ngoja nifanye research yale maeneo kama simu zitatoka mwaya

    ReplyDelete

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT