PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Monday, September 29, 2014

BIRTHDAY OF THE YEAR... TEAM WEMA!!!

Hi dolls....
How are you all... Mie nipo cool, missed you all mnooo... Was busy with my doll Debrah... Now kashaondoka and leo ame'report rasmi chuo.. KCMC - Yeah, our Doctor Deborah!!! Kiruu nimesahau jina la course anayosomea..nisije nikaandika matusi buree... 
Will post Me&Deborah picture later, for now tuyaache ya sie kwanza na tuanze ya Birthday ya mwaka... 
Najua woteee mshaona manjonjo za Birthday ya Wema Sepetu na shem darling alivyowafunga watu midomo eeh??!! Kama ulichelewa basi nakukaribisha u'enjoy pamoja na Team Wema... 
Kama ukiona unakereka kuna ndimu za Diamond utalamba na zisipokutosha tutakuazimia zile za kwa shishi baby!!!!

Alianza kwa kujitafutia Baraka za Mwenyezi Mungu kwanza Before kula bata la kikubwa....

 


Mahaba yalianza hiviiiii...

        

Am soooo happy for you D&W.....

Sasa kwenye bata la kikubwaaa... 

 
 
 

Yaani pamoja na urembo kuchangia dah!!! Wema ulipendezaaaaa!!!!



Venue a.k.a Ukumbi wa Birthday ya Madame ulivyorembwa....
One word... Classic!!!
Please google bei ya chupa moja ya MOET, Usije ukasema mie namfagilia Madam... Mie nauza 300,000 Kwa chupa moja, yaani laki tatu msije mkadhani nimekosea nikaongeza sifuri mbele..nooo, ni laki tatu na hiyo ni bei ya jumla na tena nazileta kwa oda tuu...

Kiruuu.. ni MOET tuu zimejaa... Kudadadadekiiiii mamaa ya chibu!!!
 


 



Mambo za ma'cake cake sasa.... Kiruuuu!!!
Hii ni Cake special from mume mtarajiwa... Halooo!!!
 

 

 

 Madame akiwa na mama zake....Rahajeeee!!!

 






Shostito'akee Madam nae alikuwepo... I thought Anty Ezekiel alikua USA ama mambo za private jet??!! Haya bana ya mtiki na mtaka tuwaachie wenyewe, partners in crime!!!
 


Ma'zawadi timeeeeeeeee baibyyyyy..... 


Gari kutoka kwa Chibu akee... Na alikabidhiwa na mama mkwee... Mtanunajeeee!!!

Kaka manager nae alikabidhi gari, kitu cha BMW... Gari kadi babuuu.... Hahahahaa!!!

 

Achana na yale mazawadi ya elfu elfu na laki lakiii, maana hazihesabiki kwa wingi wake, atafungua ma'box hadi birthday nyingine ifike bado hajamaliza kufungua zawadi... Hahahaa.. Sasa haya ni mazawadi ya milion milion... keleuwiiii!!! Shikamooo shem darling na kaka manager!!!


Team Wema walikuwa mbeleeee.....

 


Haya sasa hii ni special kwa wale waliovurugwaaaa... Hata baby'walker hujanunuliwa bado??? Wapi shi-shi babyyyyy!!!! Tunajua kabisaaaa haituhusuuuu ila hii Konyagi tamuuuuu!!!! Hahahahaa.... Shikamooo Kermit akeee....

 

Happy Birthday Wema Sepetu!!!
XOXO!!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT