Do you guys believe in dreams comes to reality???
Mie naamini 100%... Ukiwa na nia and ukijituma na kumtegemea Mungu kila kitu kinawezekana...
I am still young so bado naendelea to dream, hahahaha... na pia bado dreams nyingine zipo njiani soon and very soon zitakuwa reality in the name of my living God... (Can you say AMEN)
Kwa wale waliopo karibu na mimi watakuwa wanajua kuwa mie ni kati ya watu ambao wanaweza wakakosa usingizi kabisaaaaa when wanapotaka kitu then kishindikane.. Duuuh...naweza nikakesha for days yaani hadi ni'make sure nimetimiza kile nikitakacho... Naamini I was born a winner so story za kushindwa kwangu aisee sitakagi kabisaaa kuzisikia...
Na leo am so proud of myself maana nimetimiza one year of blogging and sijawahi regret wala kuwa bored with it... Am so very happy!!!!
Asanteni wapendwa wangu kwa kuwa na mie kwa mwaka mzima sasa na bado mnaendelea kuwepo, hadi leo tuna viewers zaidi ya 20,000 (elfu ishirini) kutoka duniani kote..
(Natumia camera yenye auto-flash kupiga simu my laptop, so huo mwanga ni from camera,poleni... Ila viewers wanaonekana hapo ni 20325 hadi now tar.31.03.2015 saa tatu asubuhi)
Kwa page viewers hata wewe msomaji ukitumia laptop pia unaweza kuwaona... And in blog's settings ni mimi owner wa blog ndie naweza kuona my viewers wanasoma blog yangu from where, kwa leo Tanzania na United State ndio wanaongoza kwa kunisoma... Ila there are more countries pia zinanisoma as ivo in picha...
Sorry kwa huo mwanga hapo, ni kwa vile nimepiga picha laptop and my camera ina auto-flash
nikitaka pia kuangalia kwa Tanzania tuu naweza kuona ni mikoa gani inanisoma zaidi, pia nikichagua kuangalia mkoa mmoja tuu like Iringa,nitaona ni maeneo gani wananisoma zaidi like Mafinga, Iringa mjini, n.k
So,hapo nimeangalia kwa dunia nzima ni nchi ngapi zinanisoma and that's a results...
Pia nikitaka kuona ni post gani imesomwa leo mara nyingi naweza kuona kama ivo..
Nawapenda, nawapenda na nawapenda sana zaidi ya sana!!!
Happy One Year Anniversary Gf-Collections...