PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Friday, February 26, 2016

ABOUT FRED Jr'S BIRTHDAY...

Dears,

Wapendwa wa mie hivi mnajua vile nawapenda??!! And nawapenda zaidi pale mnaponichamba eti kisa sija'update blog...Hahahaaa, seriously!!!!???!!!! Jamani you all know kuwa mie i loveee blogging, so mkiona kimya mjue nimebanwa hatareee...
Aya bana, mie nawapenda tuu na vichambo vyenu visivyo na viwango vimenichekeshaaaa... Mmmh, ila to be honest wengine mna vichambo quality hadi moyo ukaniuma kidogo... Duh, sio kwa vichambo hivyoooo!!! Hadi nimetamani niwa'block what'sApp maana kiruuuu.... Mmetishaaa!!!!
Owky, maana kuna vichambo vimenikomesha sasa ngoja niwape full story ili twende sawa... Yaani kama huna muda leo soma nusu then kesho utamalizia maana i am now starting kuwapa mastory... Hahahaaa, msije zimiwa free WiFi ya ofisini maana boss ataona mbona kazi haziendi lakini kila mtu yupo busy na computer... Ama usije mkera mteja kwa kuwa busy na simu kusoma mastory yangu wakati mie now nishafunga hesabu za week, nishatenga mshiko wa kula bata na wanangu on our ka'short vacation this week-end na sasa nipo najipa rahaa on my stress-free zone!!!  Yaani ni full mastory hadi kila mtu awe in the mood ya ki'week end week! Ama vepeeee???!!!
#ThanxGodItsFridayyyyy

About Fred's birthday....
One thing i must have for a birthday it's a birthday cake... Birthday haiwezi kuwa complete without a ''cake'' tena cake yenye viwango na ubora wa hali ya juu... And for all my needs of quality cakes commandoo wangu ni ''Mama T's cake diva''
Kwa kila birthday we always choose a cake then nampelekea Mama T the ideal, anafanya her magics inatokea kama vile tulivyotaka and even better...

You all remember when i turn 30 eeeh??!! I had an ideal of ''30Years cake look'' and there it was... Faith had an ideal of ''kimdoli cake'' and Mama T akamfanyia yakee... I gave my hubby a ''watch gift'' on his birthday and Mama T akanitengenezea a ''watch cake'' kusindikiza zawadi yangu... Guys, she is the besttttttt!!!! Hapo nawaelezea tuu what she is capable of making, bado sijawaelezea ladha...Kiruuuuu!!!! Cake zake ni tamuuuu na zinachambuka yaani ukianza kuila huikinai, niaminini mie... that woman's hand are noumer katika ku'bake cakes for real...
And one of the verrryyyy best cake ever was my son's graduation cake... Dah!!!That cake was the veryyyy best of all the cakes everrrr, can you imagine a ''two-books  cake'' plus kakofia on it...and ladha on point!!! Sikutaka tuu kuwarusha roho kuwa on that graduation yaani Fred ndiye alikuwa na the best cake, na kila mtoto alikuwa anakuja kuishangaa na kuisifia...bado wazazi kibao kila mtu ananiuliza ''where did you get the cake'' waalimu ndio kabisaaa wakataka na number za simu za aliyetengeneza cake ili awe anawatengenezea na wao...(Good thing baadhi ya walimu ni die-hard fans wa hii blog, so mnajua what naelezea) The cake ilikuwa funiko hatareeee, yaani hadi Fred alivyorudi shuleni the next day akaniambia ''mama everybody was talking about my cake'' Hahahahaa...
And do not mistake me maana hapa it's not maswala ya ''women supports women'' (maana hata ukiwa mwanamke unafanya vitu havieleweki kamwe siwezi kukusuport my dear) na pia sio maswala ya kupigiana ''promo'' wala sio mambo za ''adverts'' (maana she doesn't even know what i am blogging now,so yeye mwenyewe ata'suprizika atakaposoma) wala hatutafutiani ''kiki'' (maana kila mtu ana kiki zake za kutosha) so wewe waza upendacho kukiwaza ila huu ni ukweli wangu kutoka moyoni, yaani ninachoelezea about the cakes ni ukweli tena ukweli kutoka paradiso!!! And kwa experience yangu ya five years in Iringa sijawahi kuona cake nzuri kama za Mama T, not even nusu ya ubora wa cake zake bado sijaziona... and oooh,yessss jamani she is the best!!!!

Sasa back to our story...
Mungu ni mwema sana, amenikuzia kijana wangu... Mwanangu wa kwanza sasa yupo na six years old... Yaani amekuwa ''mkaka'' and amezidi kuwa too caring and the sweetest lil'man ever!! As veryyy handsome as his dad and big part of me..hahahaaa!!!
I feel complete nikiwa nae, sometimes he makes me feel kama namkufuru Mungu maana nikiwa nae i feel like i don't need another baby boy...yaani ananitosheleza kwa kila kitu a baby boy is for... He is a protector, a hero, a keeper, a family-man, a super-man, a loving-brother, too understanding, hard working boy, very intelligent, God-fearing baby boy  and everyyyyything i could think of kwa mtoto wa kiume...so when i say he completes me namaanisha with him i need nothing else!!!! 

Eeee mwenyezi Mungu baba wa rehema na neema endelea kunitunzia na kunikuzia mtoto wangu huyu, maana unajua vile nampenda...i love him more than life itself!!! 

Sasa this time Fred aliniambia since amekuwa mkubwa anataka ajichoree his birthday cake...Yaani achore vile anataka his birthday cake iwe!!
Kwa kweli i was suprised, nilishangaa amewaza nini kwani hadi anataka hadi aichore?? but nikasema owky boy, ebu ichore niione...akasema inakosekana rangi moja ili iwe vile anataka iwe, ambayo ni yellow... Since mpoteza crayons and pencil always ni my shogaa (Faith) so nikamwambia Fred basi nitakununulia rangi nyingine then utanichorea... Too bad nikawa extra busy nikasahau kununua rangi jamani, ila nilivyorudi nikamuelezea kuwa nilibanwa sana (as alivyo very understanding akanielewa and akatoa option) akasema basi mama ni sawa, i will draw a cake and nitapaka rangi nilizonazo then hii ya yellow nitakuelekeza iwekwe wapi na wapi... Nikafurahijeee maana angekuwa ni Faith wallah angenirudisha mjini kununua rangi, so i was like ''sawa mpenzi''...then akaanza kunichorea...
Oooh, It was priceless moment kwa kweli... Me watching him draw the ''love-shaped cake'' Aaaawww....my baby boy!!!

 Akaichora mwenyeweee... And i was recording him!! as i love picha so i also got few shots...

 A white cake, with light blue things kwa pembeni and katikati iwepo yellow and black...
Akinielekeza where to put yellow and where to do as he wants....
Priceless...

I shed tears, yaani nikajikuta too emotional na yalinitoka machozi ya furaha iliyochanganyikana na kuona aibu... Nilifurahi how this boy is too loving, maana nilijua labda atachora gari coz amekuwa addicted na magari lately, anajua hadi latest names za magari ambayo mimi siyajui..but he draw a ''love-shaped cake'' dah!!! And niliona aibu why didn't i buy him rangi yake ya njano jamaniii... anavyonielekeza anainsist mama dont forget yellow, duh!!!
Alinitoa machozi kwa kweliiii...and nikajizuga kuwa i am not crying my love, i am just too happy and i love your cake... He hugged me and akanikabidhi karatasi lake la mchoro wa cake....

Yaani hapo hapo nikamuelekeza Mama T, tena kwa msisitizo hatareeeeeee... And kwa vile namuamini katika kunipa kile nataka, she was the only one who could bake it...maana that cake was drawn with love, lazima iwe baked with love too...
And aiseee, alivyonitajia bei i didn't burgain... Yaani i am sure hata Mama T atakuwa alinishangaa maana ninavyojuaga ku'burgain mchagga mieeee, hata kama nina hela nitaomba kupunguziwa huyoooo... ila hii kiukweli sikuomba kupunguziwa hata mia, and hapo sikuwa na hela hata ya kutosha...hahahahahahahaaaaaa.... Good thing Mama T pia ni understanding, lol!!! Apo sina hela and i don't burgain and cake nataka, ni sheeedar!!!
Ila the reason sikuomba kupunguziwa hii cake ni vile i valued that cake, it was priceless...no money can pay for it yaani...so it deserved all the money!!!nooo kuomba kupunguziwa, by the way prices za Mama T ni very affordable, mie tuu na uchagga wangu namuoneaga all the time, hahahaa!!!

Aya sasa the cake was baked, and the birthday ikawadia... Another blessing pia ikawepo on the same day my mume had to safiri safari ya ghafla ya kikazi, so mama nikawa as 10times busy zaidi that day.. Maana kumuandaa hubby for safari is something i take a lil'bit serious...lazima nihakikishe atakuwa comfortable kwa muda wote huo ambao he'll be away (Wife materials najua hapo mnanielewa eeeh??? Na kwa wale kina shoga-uyoga next time nitawapa kitchen party ''for free'' on how kumuandaa hubby for safari)

But hakikuharibika kitu, hubby alisafiri happily maana ''mama la mama'' i was in control na Fred Jr ali'enjoy birthday yake to the fullest maana shoga'angu wa ukweli was in the control...


Na ndio maana sintaacha kumshukuru Faith wangu kwa kuweza kuifanya birthday ya kaka'ake iwe tamuuuu...






Yaani Faith ndio ali'organise shughuli yote from kumuimbia birthday song, kula nae sapper, kukata na kulishana cake, kumpaka cake usoni, kufungua na kunywa shampen, finally eti akammwagia na maji, lol... they had fun yaani hadi nilivyokuja kuwa free kuwacheck Fred ananiambia mama we had the very best birthday party ever... Heee, Faith kanishinda mtu mzima ku'host birthday party... Mambo za kupakana cake tena, kiruuuu...na kumwagiana majia, hahahahaaa... hapo hadi ''dada'' walimchanganya akashindwa kupiga picha naona, hahahaaa!!!
And mostly walinifurahisha sana, ingawaje the whole room ya Fred was a mess ila i dontttt care!!!! My babies had fun, that's all matters...


Ingawaje picha sio nyingiiii as ningepiga mie but hizi hizi chache you can tell how happy they both were... Totoz mbili kama million mbili, dah...


 Hapo walitenga tuu a piece for mama and ''dada'' then wao wakaifanyia sherehe yoteee iliyobaki... hahahahaaa!!!
 Special thanx to my ''dada'' for the meals, she did her best apo na kitu cha chips-viungo na kuku plus source pembeni, just the way Faith loves... hahahaaa...
 Yammy....
 Bila kusahau matunda...
 
Favourites fruits za Fred Jr...parachichi na tikiti!!!

Na sasa ndio nimemaliza mastory ya leo...
Asanteni sana woteee mlionizodoa kuwa ni'post picha, wote mliokuwa wapole kusubiria nipate muda wa ku'post na wotee ambao mmepoteza muda wenu ku'enjoy birthday kwa macho!! Hahahahaa... Nawapenda sana!!!

XOXO!!!

Wednesday, February 24, 2016

BLACK BEE GIN AVAILABLE AT GF MIN DEPOT....

Hey dears,
Hope mpo pouwa sana... Jamani i am busyyyyy hadi sijielewi, but still hela ni ngumujeee??!! Duh, hivi ni mimi tuu au na nyie wenzangu mnaona hii hali ya Magufuli is soooo noumer???!!! #ShikamooMagufuli #IlaKulaBataHatuachiiiiNg'ooo
Before sijawaambia maswala ya Black Bee Gin, please let me take a moment to say....
Happy Birthday Fred Jr!!!
Yeah, jana was my son's birthday, Fred Jr is now six years old!!! Ila mama'ake ndio nilikuwa busy as never before, and dad'akee had an oficial-safari so all the thanx goes to Faith.. Maana dada mtu  alituwakilisha vyema and aliifanya birthday ya kaka'ake iwe a wonderful one!!! Na hii ndiyo raha ya watoto wa kike, they are ''mothers'' hata in the age of three.... Asante sana Faith wangu, you are the best!!!
Picha zipo za kutosha ila kwa leo nipo ki'biashara zaidi so nitazi'upload tonight ama kesho Mungu akipenda...they are not very clear since venue ilikuwa Fred's bedroom, ila they are priceless...Too sweet yaani!! Faith is the sweetest host wa birthday everrrr!!! Na ndio maana sijawahi kusahau kumshukuru Mungu kwa zawadi ya mtoto wa kike, #AsanteBabaMungu #I'amTooGreatful
''Kiruuuu... if i were to give birth now lazima nitamani aje baby girl tena...Yeah!!! I love baby boys pia, ila i looooveeeee baby girls!!! Hahahahaa...''

Aya sasa twende kazi....
 
Black Bee Gin...
 
''Black bee'' ni gin with a clear crisp taste... Inatengenezwa na a very fine spirit, black bee selected flavor and the de-ionised water... ''black bee gin'' is a product of Tanzania and it's blended and packed by ''Seasons Drink Limited'' P.O.Box 338 Arusha Tanzania...

And the very best news ni kwamba.... Black bee gin Is now available at GF MIN DEPOT - IRINGA!!!! (Kote town branch and Kihesa branch)


Yes wapendwa wa mie... GF MIN DEPOT ndio the one and only main-distributor of Black Bee Gin in Iringa, and we sell at the very reasonable and affordable prices.. Waweza kupata from Catons to the Boxes, and zaidi waweza kuuziwa pia kwa rejareja kwa pacts.... Yes, this is the only product ambayo GF MIN DEPOT inaweza kukuuzia kwa reja reja pia...
 
And kwa wale watakaofika ofisini kwetu ''GF MIN DEPOT'' both branches from leo to next week-end watapata Black bee gin za kuonja for freeeeee, narudiaaaa... Zipo za kuonja and ni freeee!!! so mje tutengeneze cocktails... Mje tunywe Black bee gin pamoja... Ama vepeee???!!!

Msisahau... Mteja kwetu ni rafiki!!! And you are all welcome, tuje tupige cheers na Black bee gin... #PombeYaKistaarabu #DrinkResponsibly #NotForSaleUnderTheAgeOf18 

You are all welcome!!!
XOXO...

Saturday, February 20, 2016

THE NEW GF MIN DEPOT AT KIHESA - IRINGA....

Hello dears,
Jehovah has done me well!!!
 
 I am happy, i am healthy and i am thankful!!

Out of topic...
Before sijaanza na topic ya leo pleassssseeeeee, najua nawakwaza wengine so mnisamehe bure...na wengine nawaburudisha so endeleeni kuwepo... 
Naomba niseme hiviii... I am too busy making money, Magufuli kasema hapa kazi tuu,mimi kama mimi kiukweli naona uchumi ni mgumu sana kwa sasa and still mie napenda maisha mazuri, vitu vizuri na kula bata... And kwa Mchagga mie hela ya mume ni just a ''BONOUS''
(I am always thankful and greatful for my bonous though, maana inakuwaga bongeee la bonous, hahahaaa)
So i choose kutafuta pesa yangu kuwe kwa moyo mmoja na Mungu awe mbele yangu kwa yote and when it comes to ''my money'' i even find friendship ni luxury ambayo i can't afford...
So dear shoga'uyoga wa mie sio kama nakupotezea na mbwembwe zako za kibibi, ni kwamba nimekuhifadhi tuu kwa muda and i promise you that i'll get back to you maana hapa utachoka wewe, mie ndio kwanzaaaaa na'enjoy hatareee so endelea... Ila when nikikuanzaaaa, niamini mimi kuwa utajuta, yesss you'll surely regret!!! Maana mie matusi siyajui, na kamwe siwezi kukuita kiungo cha mwili chochoteee maana kila kiungo cha mwili for me nakiona kina thamani kubwa sana so nitakuwa nakikosea heshima kukuita wewe jina la kiungo cha mwili etiii kiwe kama ndio tusi lako...Nilishakuambia kuwa wewe tuu ulivyo ni bonge la tusi so siwezi kukutukana mpenzi, all i can do ni ku'describe tuu ulivyo and the rest nakuacha utetemeke na pressure!!!  So can't wait for you umalize kunipa majina yoooteee ya viungo vya mwili... Maana vikiisha sijui utaniitaje tena...hahahahaaa!!! And my mamaa taught me well so siwezi kutukana wala kugombana na wakubwa...hapa ni facts tuu ila pressure lazima ikushuke!!!
Ngoja kwanza nitafute pesa then.... Hahahahahaaa!!!!Shogaaaa.... Utaja nielezea kilichomsibu bi.mkubwa hadi akakuachia ''mzigo'' wa kulea kwa matumaini, ''zawadi'' ya kuishi kwa matumaini na ''suprize'' ya kupata haja kubwa once in two weeks... Kiruuuu!!!Ningekuwa nimehadithiwa haya na mtu baki wallahhh vile nisingeyaamini... hahahahaaaa... Hivi wewe ni binadamu wa aina gani atiiiii??? Like seriouslyyyy..a whole week no doing that thing??!! Hahahaa, mie siku mbili tuu na'data...kwani wewe walaga nini?? What do you eat darling??? Dah!!umetisha shoga'angu.... 
Ila as i said, i am too busy making money... so sina muda now wa drama zako!!! Ngoja nisake pesa kwanza my dear...

Back to the topic sasa....
Finally my other office imeanza ku'operate leo... It's THE NEW GF MIN DEPOT at Kihesa Iringa...
So, kwa sasa GF MIN DEPOT ipo na one branch ambayo nayo pia itaenda na the same name ''GF MIN DEPOT" ila hii mpya ipo maeneo ya Kihesa-Iringa, the Dodoma road ama Kihesa sokoni kituo cha daladala maarufu kama kituo cha garage...
 
The New GF MIN DEPOT pia ina'deal na uuzaji wa Jumla wa vinywaji vya aina zote..(In a wholesale prices only) So kwa wale wateja wangu wa maeneo ya Tumaini University, Mkimbizi, Ngome, Mtwivila na maeneo jirani na Kihesa kwa sasa huduma za vinywaji zimerahisishwa na kusogezwa karibu nawe kabisaaaaa.... Na huduma zetu ni zenye viwango vya hali ya juu, bei zetu ni very affordable na bila kusahau free transport na free ushauri pia!!!
Mteja kwetu ni rafiki and msisahau kuwa GF MIN DEPOTS are the best in town!!!!  
 I am not there yet but definitely i am not where i used to be!!!
Mdogo mdogo tuu nitafika... Taratibu ndio mwendo... Huku pia patajaa na''depot'' nyingine ya tatu itafunguliwa Inshallah!!!
 My new office... ''2016th goals''
Karibuni sana wapendwa wa mie... Karibu sana pia my shogaa'uyoga!!!
 
 Mje tupige story za biashara... Mje tupeane ushauri... Mje tuelekezane mambo za kutengeneza pesa... Mje tupeane moyo na changamoto za uchumi...
Maana without you all, mie sio lolote... 
Na ndio maana nawapenda sana, zaidi ya sanaaaa wooteee!!!

Yes, Love you all... Love you so very much!!
XOXO...

Tuesday, February 16, 2016

MAIN SPONSORS OF MY BLOG....

Dears,
The main sponsor of my blog ni ''GF MIN-DEPOT'' wauzaji wa vinywaji aina zote (hard & soft drinks) kwa bei ya jumla... The depot is located at Mkwawa road karibu na stendi ya daladala za kwenda Chuo cha Mkwawa na inatazamana na ofisi za CCM-Mkoa Iringa...
Muda wa kazi ni saa mbili kamili asubuhi hadi saa kumi na mbili na nusu jioni siku zote za wiki...
GF MIN DEPOT pia inatoa huduma ya usafiri bure kwa wateja wote waliopo ndani ya manispaa ya Iringa...
Tunatoa ushauri (In case of vinywaji vya kwenye sherehe, misiba ama night clubs) na kukusaidia kufanya budgeting for free!!!

Mteja kwetu ni rafiki...
 Pamoja na kuuza vinywaji vingine vyote pia GF MIN DEPOT ndio the one and only main-distributor wa DRAGON (energy drink) katika mkoa wa Iringa...
Come and get DRAGON at the cheapest price... Tunawauzia hata mawakala wengine wa vinywaji vya jumla pia since we are the main-distributor!!!

 GF MIN DEPOT Inawakaribisha wote kututembelea ofisini kwetu au kuwasiliana nasi kwa simu namba 0753 891 997... Unaweza kutoa odder kwa kupiga simu au kutuma sms ama wassap na uhakika wa kujibiwa upo kwa asilimia mia...
Don't ever forget kuwa ''Mteja kwetu ni rafiki!!!''


 


  
GF MIN DEPOT... We are the best in town!!!

With love from GF MIN DEPOT team,
XOXO!!!

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT