PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Saturday, July 22, 2017

ANNIVERSARY VACATION....#MARCH.2017

Hi dears,
Happy Saturday to you all... Karibuni sana katika blog yangu ili tu'enjoy na mambo mawili matatu siku ziende... Maana kwa usawa huu wa magu wallah usipopata kitu cha kuku'enjoy'isha unaweza zeeka kabla ya umri wako... And who wants kuzeeka??!! Hahahahaaa, akuu bab...
 Image may contain: 2 people, people smiling, closeup
Aya sasa lets go to the stories za March this year, when me and my F-babies tulienda kwenye ka'vacation for my wedding anniversary...(Read the previous post if nimekuacha solemba, then uje hapa sasa twende sambamba)
We started vacation yetu kwa a road trip, Iringa to Mbeya... It was amazing at the start... Kumbuka my hubby was not arround, so it was me and the kids only!!!
Image may contain: one or more people, people standing, car, child, shoes and outdoor
 Image may contain: one or more people, people standing, car and outdoor
 Image may contain: 1 person, closeup
Tulianza safari yetu mapema tuu, arround saa tatu ivi...plan yetu ni twende mdogo mdogo, hadi tufike Mbeya jioni sana... So break ya kwanza was Mafinga town, na kila tunapopumzika the only activity we did was kula... Meiiiin, me and my babies loves food buanaaa!!!  
I was the driver, mama and mpiga picha at the same time so poleni kwa picha mbaya and chache... 
 Image may contain: 2 people, closeup
From Mafinga then tukapumzika Makambako, hapo sasa ndio mambo yakabadilika maana Faith alipata na stomach-upset... Sidhani kama ni chakula coz i was too careful na tunachokula, nahisi it's normal kwa watoto(Hata watu wazima pia inatokeaga) tumbo kuvurugika coz of safari... So we had kulala Makambako ili kumpa Faith muda wa ku'regain her strength ili aendelee ku'enjoy safari...

Next morning, wote tulikuwa super fine... Na safari ikaendelea hadi Mbeya... 
Apo sasa safari was non-stop, coz we were almost out of ratiba yetu..tuli'plan kukaa Mbeya two days yaani iyo siku tuliyofika ilitakiwa ndio iwe day one in Mbeya, kesho yake iwe day two and our flight ilikuwa iondoke jioni of day two... Arusha pia two days yaani asubuhi ya siku next to the day tumeenda, then kesho yake na keshokutwa yake our flight back to Mbeya was mchana...tukirudi Mbeya tushinde huo mchana and jioni then tulale,kesho yake we hit the road back to Iringa... So kulala Makambako kulisababisha muda wa kukaa Mbeya kupungua kidogo... Coz tulifika Mbeya mchana, and we had kwenda Songwe kuhakiki everything was clear for safari ya kesho yake so tulichoka sanaaa... Hata hatukuwa na muda wa kuzurura Mbeya siku iyo... Tulilala tuu and the next day tukachelewa sana kuamka so tulivyoamka tuu tulijiandaa for safari...
 Image may contain: one or more people and closeup
Was extra careful with the kids so picha nilizokuwa nazipiga was not clear, and most of them hata hazionekani kabisa... But we really enjoy the safari...

Here comes day one in Arusha... And Doctor wa familia came all the way from Moshi to pick us... We love our Debby a lotttt, straight akatupeleka kwanza ku'enjoy...maana tulimwambia tunataka ku'enjoy na ku'creat memories nyingiiii sana kwa muda mfupi... 
So she took us to the snake park... Meserani snake park Arusha...
 Image may contain: 2 people, people smiling, people standing, shoes and outdoor
 Mie nimeshaendaga huku several times ila that time nili'enjoy sana coz nilikuwa na wanangu...and ilikuwa mara yao ya kwanza kwenda at the ''snake park'' and to see big snakes live...

Image may contain: 2 people, people smiling, people standing and sunglasses

Image may contain: 1 person, smiling, standing

Image may contain: 3 people, people smiling, people standing and outdoor
Tulimpata park-keeper yupo deep huyooo, maana alituelezea kila kitu about snakes... na tena ni aina nyingiii mno za nyoka, ila anazijua hatariiii...na anajua kuadithia aiseee...
Snakes are not something to like ila ukiwajua na ndio upate wa kukuadithia about them kama huyu aliyetuadithia sie wallahy unaweza jikuta umeanza wapenda nyoka...
Image may contain: 1 person
No automatic alt text available.
Image may contain: one or more people and people standing
Tupo makini kusikiliza historia za nyoka...Apo akituelezea how they get them..its sooo interesting, na kuna nyoka wanaozaa kabisa nyoka-watoto na wengine wanataga mayai... 
And most of nyoka ni wapole in-nature, wanakudhuru tuu pale wanapohisi kuwa thretened...so most of them iyo ni deffesive mechanisim,otherwise ni nyoka wachache sana wakorofi... Na hao wakorofi ni wakorofi haswaaa....kunao huyo mkorofi mmoja tuliambiwa ni adimu sanaaaa, ila sasaaa...uyo mmoja tuu akicharuka anaweza maliza kijiji kizima chenye more than 1,000 people in 25min...
kiruuuu!!!...they are surely not something to like eeee...(in my Kichagga voice)
Image may contain: one or more people
Image may contain: outdoor

Image may contain: one or more people, people standing, plant and indoor

No automatic alt text available.

No automatic alt text available.
Image may contain: one or more people
No automatic alt text available.
No automatic alt text available.
Image may contain: plant
Image may contain: 2 people, tree and outdoor
My kids sio waoga jamani...ni majasiri hatareee, na vile yule park-keeper alikuwa anawatoa uwoga, loh.... Walivyokuwa wanahoji sasa,hahahaaa... 
We really creates memories of a life time!!!
Image may contain: one or more people, people standing, tree and outdoor
Image may contain: one or more people, people standing, tree, child, plant and outdoor
Image may contain: outdoor

Image may contain: shoes and outdoor
Baada ya nyoka, tukaanza na mamba na kenge... Check walivyo makini apo...
Image may contain: 1 person, tree, outdoor and nature

Image may contain: 1 person, standing, tree and outdoor

Image may contain: outdoor and nature

No automatic alt text available.
Aya sasa, hapooo ndipo patamu... Tukafikia pale kwenye nyoka wapoleee kuliko wote, and we hadi ku'prove... Akaanza kwanza Doctor, apo mie natetemeka balaaa... hahahahaaa
Image may contain: 1 person, smiling, standing and outdoor
Look at her, comfortableee yaani na nyoka... Uuuuwiii!!! Apo mie sijashawishika kabisaaa bado kuwashika aiseee....
Image may contain: 1 person, smiling, standing and outdoor

Image may contain: 1 person, standing and outdoor
Image may contain: 1 person, smiling, standing, plant, tree and outdoor
Image may contain: one or more people, people standing, child and outdoor
But my kids walikuwa wanatamani kuwashika nyoka, so it was dreams cames true!!!
Image may contain: one or more people, people standing, sunglasses and outdoor
Image may contain: one or more people, people standing, sunglasses and outdoor
Akaanza kaka la kaka!!!
Image may contain: 1 person, standing, sunglasses and outdoor
Image may contain: 1 person, standing and outdoor
Image may contain: 1 person, standing, tree and outdoor
Then my girl...
Image may contain: 1 person, standing, shoes and outdoor
Image may contain: 1 person, standing and outdoor
Baada ya hapo sasa na mie nikamshika, from Faith to mama... Dah, nilikuwa natetemekajeeee
Image may contain: 1 person, outdoor
Nipo, pleaseee nyoka be gentle, i wanna kiss u!!! Hahahahahaaa...
Image may contain: one or more people, people eating, tree, plant and outdoor
After nyoka sasa vinyonga... kiruuuu!!! Hapa aisee mie nikagoma...and nikagoma hata wanangu wavishike... Mie nikikiona kinyonga napata vipele vya baridi mwili mzima ghaflaaa...lol
So alivishika tuu Debby...she is fearless, ndio maana anapenda udaktari...mie...aku!!!
Image may contain: one or more people

Image may contain: one or more people

Then kwenye ndege...wild birds!
Image may contain: one or more people, people standing, tree, outdoor and nature

Image may contain: bird
No automatic alt text available.
Image may contain: bird

Image may contain: 1 person, standing, tree, plant, outdoor and nature 
Peace and love!!!

Image may contain: sky and outdoor
From there then tukaenda for camel-ride... Aaaaaw, was amaziing...
Wote, mie na wanangu tulishawahi kuona ngamia live, ila hatujawahi kupanda... So it was the very first time kupanda ngamia
Image may contain: one or more people, people standing, sky, tree and outdoor
Image may contain: sky, horse, outdoor and nature
Ngamia wakasogezwa, na kuandaliawa...
Image may contain: outdoor and nature 
Then wakaanza Fred Jr na aunty Debby... Kiukweli it was scary but amazing!!! 
Image may contain: one or more people, sky, outdoor and nature
Image may contain: 2 people, people smiling, sky, mountain, outdoor and nature
Image may contain: 2 people, people smiling, people sitting, sky and outdoor
Look at them.... yeeeyaaah!!!!



Image may contain: one or more people, people standing, sky, outdoor and nature
Waliporudi sasa ni zamu ya mama na binti wa familia...
Image may contain: 2 people, people smiling, sky, mountain, outdoor and nature
Image may contain: one or more people, sky, outdoor and nature
Tisa kumi kwenye mwendo wa ngamia kinachotisha ni anaponyanyuka na anaposhuka...Uuuuuwiiii!!!!



From there tayari ilikuwa jioni, tukaenda for a dinner then home kulala...

 Day two in Arusha... Breakfasting!!!
Image may contain: 2 people, people sitting, table, food and indoor
We really loveee eating...
Image may contain: food
 Image may contain: 1 person, sitting, eating and food
After kula tukaenda kumsalimia Eve, tukamkuta yupo na our darling wii coz it was a clinic day...apo baby Jr alikuwa bado tumboni, so tukawasindikiza AICC Hospital... then from there tukarudi wote home for lunch and maandalizi ya barberque jioni... Coz mamaa na dad walikuwa wametutumia nyama nyingiiii, since tuliwaambia tupo na muda mdogo sana wa kukaa Arusha so tulifikia nyumbani kwetu mjini, wao walikuwa nyumbani kwetu kijijini...

Image may contain: 1 person, sitting
Eve is gonna kill me for posting these pictures...Hahahahaaaaa, but she was realy good...and veryyyy pregnant ofcoz!!!
Ila aliniruhusu kuzi'post after akijifungua, na niliheshimu maamuzi yake, sikuzi'post hadi baada ya kujifungua ndio nilianza post picha zake za pregyy... I respect peoples privacy, ingawaje mie siwezi aiseeeee....hahahahaaaaaa, hata ultrasound tuu ya 14days nikipiga ni lazima nita'post lol...apo nasubiria tumbo likue tuu nipige picha za mapozi yoteeeee ninayoyatamanii na nizipost zoteee!!! Hahahahaaa...''we all got that sisy aliye kama mimi'' lol
 Image may contain: one or more people and people sitting
 Image may contain: 1 person, sitting
Image may contain: 5 people, people smiling, people sitting and indoor

Baada ya kupata huduma then home for lunch....
Image may contain: food
Ugali kuku wa kienyeji....
 Image may contain: food
Image may contain: one or more people, people sitting, people eating and food
 Sie kwa misosi buanaaaa hatutakagi sports sports kabisaaa...

Baada ya lunch, tukapumzika kidogo then tukaanza kuandaa ''choma'' yetu wenyewe at home back yard...
 Image may contain: outdoor
Image may contain: fire and outdoor
Apo nikiwaelekeza wanangu how to use hilo jiko...la kinyumbani zaidii... then we all do the choma
Image may contain: 1 person, smiling, food 
Image may contain: 1 person, standing, food and outdoor
Fred akijaribu to put the nyama kwa jiko...
Image may contain: one or more people, people standing and outdoor
 And Doctor is gonna surelly ninunia for posting this picha..hahahahahaaa...buanaaa, si kitengee tuu,ama??!! Basi usinune na mie nitapost yangu na shuka masai...
Image may contain: people sitting, drink and indoor
hahahahaaaaa..that was me, ila kinywaji ni kama tulikuwa na wageni sijuiiii, maana hakinihusuuuuu!!!lol

Tulilala sanaaaaa.... So the next day tulipata the very late breakfast na kuondoka zetu back to Mbeya...
Image may contain: people sitting, people eating, table, food and indoor
 Image may contain: people sitting, food and indoor
Kwa kula tuu...tupo freshhhh!!!

Back to Mbeya tulikuja na Doctor Debby, she had some things to do in Mbeya then anarudi Moshi the next morning... And tulifika Mbeya arround saa kumi jioni, from Songwe sie tukaenda kucheza kwanza then Doctor akaenda kufanya ''issues'' zake and then akatufata tupofikia....tukaendelea kucheza kidogo tuu and giza hilo, so we had dinner pamoja....
Image may contain: 2 people, people smiling, people standing and stripes
 Image may contain: 2 people, people standing, stripes and outdoor
 Image may contain: 1 person, sitting and outdoor

 Image may contain: one or more people, pool, swimming, tree, outdoor, nature and water
Image may contain: 1 person, smiling, pool and outdoor
 Image may contain: one or more people, people sitting, pool and outdoor
 Image may contain: one or more people, pool, outdoor and water
Image may contain: tree, plant, sky, outdoor and nature
Image may contain: tree, sky and outdoor
 Image may contain: tree, sky and outdoor



Image may contain: 2 people, people smiling, tree, plant, selfie, closeup and outdoor 
And here is our Doctor... Enjoying Mbeya weather...
Image may contain: 2 people, people smiling, tree, plant, outdoor and closeup
Thank you so much for all the time we spent kipenzi chetu... We love you so much Debby, next anniversary pia tutakuaika tutakapokuwa aiseeeee....you made us so very happy, tuli'enjoy mnooo kiukweli... (ila tuu kunikataza kupiga picha kwenye ndege bado nimeku'mind, nitumie basi ata ile selfie nzuri moja tuu..lol)
Image may contain: one or more people and outdoor
Image may contain: one or more people
 Image may contain: 1 person, standing and outdoor
 Image may contain: 1 person, smiling, standing and outdoor
Going for dinner at a very nice hotel in Mbeya city...
Image may contain: 1 person, smiling, sitting, drink, table and indoor
 Image may contain: 1 person, eating, sitting, table, food and indoor
 Image may contain: one or more people, people eating, people sitting, table, food and indoor
Then kulala na kesho yake mapema sanaaaaa, Debby alirudi Moshi na sie tukaanza safari yetu ya kurudi Iringa...It was a non-stop driving, by saa sita mchana we were home having lunch!!!
And still hubby was not there, so ni full kumuadisia tuu hadi akaona kama na yeye alikuwa na sisi pamoja...

Once Again, Happy Wedding Anniversary To Me and My Hubby!!!! Thank You For Everything!!!

XOXO...

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT