PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Monday, July 20, 2015

MAJIBU YA DIAMOND KWA JOKATE...

Hey,
Kweli Diamond ni noumer!!! Hahahaha...kanichekesha sana!!!lol ''Tumeshanyooka kaka, wallah tena nakuambia tumenyookaaa!!!''

Haya ndio majibu yake kwa ile post ya Jokate (According to GlobalPublisher)
(Kama hujui sagger zima go to the post ya ''DIAMOND + JOKATE + BIKIRA WA KISUKUMA = ??? ) Then ndio urudi hapa usikie majibu ya kaka!!

Kaka unajua huko sio kujishuku maana in that video yupo yeye Jokate, au may be sielewi a realy definition ya kujishuku au??? Na caption inaenda sambamba na video, sasa kujishuku inakuwaje hapo?? 
Alafu unajua kabisaaa hajaku'support sasa unam'post vipi kama fan wako hapo??? Fan wako hana support au?? Usitudanganye banaaa kaka, wee ungesema tuu yes nimam'post kumpa vipande vyake..Ila story za kumpost kama fan wako aisee hapo tunadai chenchiiii...

Ila a good thing, a very good one ni kwamba unajijua wewe ni mswahili..hahahahaaaaa!!! Na mtuwacheeee na uswahili wetuuuu(In Chibu's voice) Ama neneeeee(In Wema's voice) Hahahahaaaa... Instagram kuna raha jamani,lol

I realy pray hard jamani Jokate asimjibu tena..She is just too mzungu for this bull-shits.. 
Yaani hapa kaka kaonyesha wazi wazi hajaweza ku-move on kiroho safi... Sasa Jojo akeee angetulia tuu now aachane nae...ama neneee???!!!

Alafu pia ile sio caption ya ''fan wako'' haaa!!Jua kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha...

''Si bure..Huyu atakuwa na chanzo kingine cha hela zaidi ya muziki'' In Mange Kimambi's voice

Thank you all who keep tagging me on Instagram... @flowerhenry7

XOXO!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT