Hahahaaa, jamani as nilishasema long time, am not into politics kiivyo ila sometimes mazingira may got you carried away, and this is what's happening to me nowdays... I am a true and proud member of UKAWA, (hutaki basi unaweza ukaishia hapo kusoma and kindly log out, unataka basi twende sawaaa, ama neneee??!!!)
Tanzania is a free country, kila mtu ana haki na uhuru to choose where to stand and i choose it right... Mie ni team Lowassa and October lazima nimpe kura yangu....
Toroka uje... Team mabadiliko... 2015 mabadiliko ni lazima...
Linganisha objectives/vipaumbele/sera za hawa wagombea
LOWASSA:
1.Elimu 2.Kilimo 3.Afya 4.Mawasiliano 5.Nidhamu pamoja na utawala bora
MAGUFULI:
1.Umoja wa taifa 2.Kulinda muungano wa Tanzania 3.Ulinzi na usalama 4.Kuheshimu muhimili wa dola 5.Utawala bora 6.Mahakama maalumu ya mafisadi na majizi 7.Ataheshimu mawazo ya maendeleo hata yatakayotoka upinzani 8.Ataimarisha vyombo vya usalama 9.Vita dhidi ya ubadhirifu 10.Kodi ilipwe na wote 11.Ataongeza ajira 12.Ataimarisha kilimo 13.Ataimarisha sekta ya mifugo 14.Madini hayatasafirishwa nje 15.Maji hadi vijijini 16.Zahanati hadi vijijini 17.Elimu bure hadi kidato cha nne 18.Mikopo kwa vyuo vikuu 19.Kujenga hostels za vyuo 20.Maslahi kwa watumishi kuongezeka 21.Gesi kusimamiwa 22.Barabara kuboreshwa 23.Msongamano dar kudhibitiwa 24. Reli kujengwa upya 25.Bandari na anga kuboreshwa 26.Maliasili kulindwa 27.serikali kuwa rafiki na wawekezaji 28.Maslahi ya wafanyakazi kulindwa 29.Walemavu kulindwa 30.Uhuru wa habari kulindwa 31.Wasanii na wanamichezo kulindwa 32.Reli ya dar itajengwa
Hapo wazi wazi inaonyesha kwenye kona ya kitaalam Lowassa yupo vizuri sana maana amegusa mahitaji yote muhimu ya jamii kwa kutumia lugha rahisiii ambayo inaeleweka kwa kila mtu...
Mimi kama mimi sihitaji raisi mtunga verses wala raisi MC, nahitaji rahisi mwenye vitendo vingi zaidi ya maneno... CCM mmekuwa mkitupa maneno mengiiiii na yenye utunzi mtamu for years sasa na tumeshtuka, we need actions!!!
Na hakuna tafiti yoyote duniani ambayo imeonyesha unaweza kutekeleza malengo/sera/objectives 32 kwa kipindi cha miaka mitano.. Hahahaaa, hamjazingatia time-frame yenu hapo msituone mambulula.. Ama unataka zile za after 5years zako kuisha uombe tena tukuongezee miaka mingine mitano ya kuendelea kutupa sounds????!!!!
Hapo CCM mmeonyesha wazi kuwa utaalam mmeuweka pembeni ila utamu wa lugha mmeupa kipaumbele na hakuna uhalisia wa sera zenu na hali halisi....
Narudia tena, kura yangu nitampa Lowasaaaaaa!!!!
Aya sasa kwa pamoja wote tuseme ''Shikamoo Sumaye'' Hahahahaaaaaa... Yaani hii speech yake ndio imemaliza kila kituuuuuuuuu....
Ebu isome kwa makini, na ukimaliza tuu yaani trust me utakuwa ushamuona Lowasa huyooooo Ikulu moujerrrr!!!!
(Maneno in brackets ni yangu, lol... Soma tuu ya Sumaye, hayo ya kwenye brackets in capital letters niachie mwenyewe mie)
Sumaye: Kwa ajili ya muda nitasema kwa kifupi sana, nimetoka chama cha mapinduzi, katibu mkuu alisema sisi ambao hatukuteuliwa hatukuwa na maadili, mimi nasema kama kipimo cha maadili ni mheshimiwa Kinana, mimi nitakuwa mtakatifu, CCM wamekuwa wakiongoza siasa ya chama kimoja kwa ngozi ya vyama vingi, mmekunjika kwa miaka yote.
Tulitaka kufanya mabadiliko kulekule, kukawa na tatizo ndani ya CCM, ukitaka kufanya lolote wanakuzingira. Wanawajaza watanzania uoga wa usilolijua, mkiwapa wapinzani wataharibu nchi, kila binadamu ana uoga wa asilolijua.
Lowassa kwa kuliona hilo, kwa kuwa watanzania wanamfahamu aliona uoga wa aina hiyo haitakuwepo, na mimi nimekuja kwa sababu hiyo. Watanzania leo elimu yetu inashuka sana, tunashusha alama za kufaulu wanafunzi ionekane wamefaulu wengi, (CHEZEA DIVISION FIVE..HAHAHAAAA) pia ukienda katika afya. Tunataka tubadilishe hali hiyo.
Leo Lowassa ametoka CCM ameonekana hafai, lakini ni KIkwete aliemfanya waziri mkuu wake, kuna Rais anaweka kiongozi ambae hafai? (NGACHOKAAAA...IN MBUTANANGA'S VOICE)

Lakini ni LOwassa huyuhuyu ndie aliemuingiza KIkwete Ikulu, Kwamba watanzania wanampenda Lowassa, halina mjadala. (KWELIIIII KABISA,TUNAMPENDAAAA)
Mmewasikia kwenye kampeni zao, fisadi mkubwa huyo amechukua fedha za matajiri, Lowassa amechukua ustaarabu wa kuwajibika. Waziri anachukua mzigo ili kumuokoa Rais na serikali yake. Asanteni sana.
Nyerere wakati anastaafu, kwenye kikao kimoja nafikiri cha halmashauri kuu. Alisema hajaona mtu mvumilivu kama Kawawa, alibeba mizigo aliyostahili kubeba yeye, ndiyo kazi aliyofanya Lowassa.
Vichwa vya treni vinavyonunuliwa, Lowassa alikuwepo? (HAKUWEPOOOOO) Wajenzi wa barabara nchi hii wanaidai serikali trilioni 1.4, kudai si tatizo katika hizo bilioni 900 ni pesa za adhabu, huo si ufisadi, mbona hawasemi? Serikali hii ni dhaifu sana na alituthibitishia katibu mkuu, mwenyewe kusema kuna mawaziri mizigo.
Mwisho wanalomsema nalo, Escrow Lowassa alikuwepo, kile kipande cha Lugemalira tulijua waliokula,(MSHUA WA RIDHIWANIIII) kile kipande cha Habinder ni nani aliekula,(HAHAHAAA..POMBEEEEEE) tangu lini benki ikaruhusiwa kutoa cash kwa mabilioni. Wamejenga kibr, hawajali tena maumivu ya wananchi, naomba mwaka huu msikubali,(HATUKUBALIIIII) watanzania mfurahie mabadiliko ya ndani ya vyama vingi.
Wanasema mgonjwa,(MANGE KUJA HAPA UJIBU MAANA HUNAGA JIPYA ZAIDI YA UGONJWA) mimi nataka niwaulize, kwani Magufuli mzima? Wanaenda kufanya nini Ulaya kama ni wazima, (NA LOLIONDO KWA BABU ALIENDA KUNYWA KIKOMBE CHA NINI KAMA NI MZIMA???) mtu yeyote ukishavuka miaka 50 hauwezi kuwa wazima kwa asilimia 100, (HAPA NAKUUNGA MIKONO NA MIGUU BABA SUMAYE,KWELI KABISA) hivi Rais mkapa alipokuwa madarakani hakwenda kufanyiwa operashi Ulaya, (ALIENDA) nchi ilidorora? (WALAAAA) Alienda akarudi akaikuta nchi usalama. (SALAMA SALIMINI)
Kwani KIkwete alivyokuwa madarakani hakwenda kufanyiwa upasuaji mkubwa Markani?? (YES, SEMA TUU UPASUAJI WA TEZI DUME, YES ALIENDA NA NCHI IKAWA SALAMA)
Rais si kazi ya kubeba zege Ikulu,(HAHAHAHAAAA...SHIKAMOO TENA SUMAYE) anatakiwa kuwake timu nzuri ya kazi, yeye ni meneja tu, naomba sana tumchague itakapofika tarehe 25 Oktoba. (KURA YANGU AMESHAPATA) Asanteni sana, nawashukuru.

Tukutane October... Team mabadiliko... Chagua Lowassa...
Tanzania mpya 2015...
Ikulu sio gym hadi waende wanyanyua vyuma... hahahahaaaaa!!! Hatutafuti ma'body-guard sie tunatafuta raisi na chaguo letu ni Lowassa!!!
XOXO!!!