Happy New Month...
I started na 98.4kgs....
Baada ya two weeks nikawa 95.1kgs.....
Dah...asikuambie mtu how nilikuwa proud of myself...Maana hizo siku za mwanzoni za diet huwaga ndio the hardest kupungua, na ningeendelea kuwa serious yaani ningepunguza kweli 15kgs in a month...Ila sasaaaaa, mambo za black bee gin si zikaingilia kati my diet...lol.. Nikaanza ku'cheat sasa diet yangu...
Na hapo ndipo nilipo... 94.2kgs.... Kwa mwezi mmoja nimefanikiwa kupunguza only 4.2kgs.. Duh, this is not fair...kujinyima kote hukuuuu...
So, na mwezi huu pia bado naendelea na diet... Ivo ivo hata nikiwa na'cheat kidogo ila as long as naona improvements kidogoooo basi ngoja tuu nikomae...May be mwezi huu naweza punguza hata 5kgs inshallah!!!
Hongereni sana woteeee mlioweza kupunguza kgs nyingi zaidi yangu... Mmetisherrrr sana...
Na kwa wale wenzangu na mie wa less than 5kgs pia msikate tamaaa mpaka kielewekeeee... Hapa kazi tuu,ama neneeee???!!!
Ila kupungua napo pagumuuuuu.... Hahahaahahaaaa
Nawapenda sana!!!
XOXO...
No comments:
Post a Comment