Hey darling ones...
Since it's Wednesday basi wacha nijiweke mwenyewe as my own WCW...
Ila post ya leo itakuwa tofauti kidogooo... Itakwa na random pictures, yaani zile picha zangu zooooteeee ambazo hazikufanikiwa ku'happen to be posted here!!
Kama ulishawahi kuziona anywhere else pia hamna tatizo ila hizi ni baadhi tuu ya picha ambazo ninazo in my blog-file la ''never-posted" and for today wacha niwape in parts, na kila Part ina jina lake, at the end of all parts usiogope to tell me umevutiwa na part gani??? Ama neneee....
Leo naanzia from Part One to Part Ten...
To be continue!!!!
Enjoy...
Part One: Yellow-Dela
Part Two:Bleached hair on-point!!
Part Three:Short hair rock!!
Part Four:Denim-match!!!
Part Five: Damaged-geans!!
Part Six: Classy!!
Part Seven:Madam-Director!!!
Part Eight:African beauty!!!
Part Nine:Sexy!!!
Part Ten:With My Better-Half & Loved ones!!!
Love you all sooo very much.....
XOXO!!