PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, May 27, 2014

THANX 4 DA LOVE & SUPPORT.....

Thanx all my friends,my family, my neighbours n kila mtu ambaye ananipa full support,yaani mnaniweka mujiniiii *full respect to u ol* nawapendajeeeee!!!!
HATERS pia nawapenda balaa,coz u motivate me, n kama u was waiting nishuke basi u better sit down maana utasimama saaaaana!!!!

These lovely, beautiful ladies wamevaa pamba kali from da one n only boutique ya kijanja mjini... Gf Boutique... wanajielewa,wanajikubali na wanajiamini!!!!
Boss mtoto NorthernZone...Eve!!!

My Eve... Thanx wangu!!

Baby akee naniiiii... My Eliza uyooo!!!

Zayrose... Miss u my dear baby'sisy!!!

Pendeza na Gf Boutique *Zayrose*

Pendo akeee mie....uje mamie tena eeeh

Rose my dear...Thanx!!

Florah...sweetie akeee!!!

Thanx my darln....

Neema...Thanx kipenzi!!


Fetty...Lagos beibeee!!!

Mgeni with her friend...Thanx dears for support!!!
 

6 comments:

  1. Eve mtoto jicho hilo

    ReplyDelete
  2. eve amependeza zaidiiiiiii...ila atuonyeshe hadi kwa chini basiii

    ReplyDelete
  3. flora na zayrose nimewakubali mno!!! mmebambaaaa wadada
    ata neema nae yumo!

    ReplyDelete
  4. eve na lagos chick ni ndugu???? ni warembo sana, na wamependeza kuliko wote...more picha za eve plzzzzzz

    ReplyDelete
  5. lagos chick na eve wamefanana..ni ndugu??

    ReplyDelete

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT