PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, December 19, 2017

GF IN A STRESS-FREE ZONE!!!

Hellow,
Easy Tuesday mode is ON...
Karibu katika zone isiyo na ma'stress...maana hapa unasahau mapurukushani yote ya maisha...hadi madeni ukiwa hapa huyakumbuki kabisaaaaa, hahahahaaaa....
Image may contain: 1 person
Ila mnajua ni nini?! Huwa nafurahi sana nikipata feed back from you guys...Nasikia rahaaa mno, kama hapa nimetoka kuzisoma ''inbox'' na ''direct messages'' zenu nimechekaaa...
Nzuri zaidi ni how people appreciates vile sikuizi nimerudi huku, eti niwe na'post kila siku coz nawasaidia kuuona muda wa kukaa kazini unaisha haraka, hahahahahaaaa....
Mmenichekesha, ebu fanyeni kazi buanaaa, boss atawa'mind.. huku muwe mnachungulia tuu kwa mbaliii and week'end ndio muhamie... Au mambo za free WiFi za maofosini hayaa jamani, hahahahaaaaa.... Basi sauwaa!!! nawaahidi kuwepo sana tuu...mie na nyie teyna...
 
Image may contain: 2 people, selfie, indoor and closeup

Image may contain: 1 person, selfie
Image may contain: 1 person, smiling, selfie and closeup
 By the way, leo nipo Off...hizi picha nilizipiga last week ila nashangaa why nina picha nyingi sana za nusu nusu siku izi??? Sina za full kabisa yaani...and i wish mnione nikiwa full, sijui nikaanze kupiga picha now???? Hahahaaaa...nawaza tuu kwa sauti.

MakeUp By Me
Acssesories na Products zangu zote za Make-ups huwa nazinunua E.Zone Cosmetics
 
Hair By My dada (Da'Ruth wangu) it's a hand-made wig, zuriii sana especially kwa vazi la ofisini...popote anakutumia, ukihitaji nicheck kwa 0753 891 997...bei rahisiii mno!!!
 
Nawapenda sana,
XOXO!!!

No comments:

Post a Comment

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT