It's a beautiful day... Happy Thursday everybody!!
Naomba leo niwaambie the story of my life for these past few days... Kiukweli these past few days nimekuwa mtu wa ku'dissapointiwa sana zaidi ya kufurahishwa...
Nimekuwa mtu wa kulalamika about economy mnooo(shikamooMagufuli), nalalamika about malezi(sana sana about my love for Faith naona is too much hadi naogopa if am raising her well), naona nadissapointiwa with the people i love, people i do business with, people who works for me...yaani nimekuwa mlalamishi hadi kuna time nakaa mwenyewe nawaza what's going on with me???!!!
And i really hate that maana that's not me...kiukweli that is not who i am...
I am a happy soul always sasa sijui nilipatwa na nini, mimi kama mimi najijua i can't afford to be stressed maana i was born a leader and a winner...
Hiyo hali imenipa tabu sana kwa hizi siku chache, i prayed on it and Mungu amenirudishia furaha yangu ya kila siku kwa kunikumbusha kuwa mimi ni wa special... Na hakuna silaha itakayoshinda juu yangu... Na pia tumesamehewa dhambi sio majaribu, so majaribu hayana budi kuja ila hayo hayo majaribu ni kipimo cha kuongeza imani!!!
Sasa leo nimekuwa a very new me... Na sintalalamika tena bali nitashukuru maana imani yangu inaweza to move the mountains... Hata Magufuli abane kiasi gani naamini Mungu akiwa upande wangu sintapungukiwa na chochote...
By the way now naona kama nilikuwa namkufuru tuu Mungu, hivi kwa sasa ni mangapi nimeyafanya na wengine bado wanajikongoja??!! Ni mangapi bado naendelea kuyafanya na still Mungu ananibariki??!! Kiukweli ni mengi mnoooo...
#BabaAsanteKweliWeweNiMungu
Na pia about malezi yangu kwa Faith nimeyakabidhi kwa Mungu, as vile nilimuomba Mungu mtoto wa kike na akanipa, sasa namuomba anikuzie...anielekeze kumlea kwa kumpendeza yeye!! Bado nitaendelea kumpenda mwanangu more and moreeeeee, so kama wewe unaona mie kumpenda Faith ni kumuharibu basi deal with it kivyako na mtuwacheee mie na fashionista wangu....
And about the people i love, mie bado nitaendelea kuwapenda maana i do that for me...not for you, it's all about my peace of mind so mpendeke au msipendeke hiyo sijali...mie nawapenda tuu!!!
And for those i do business with yaani nyie ndio sijui niwaambie nini, hahahahahaaaa.... Maana as bad as mnavyoni'boa ndivyo as bad as ninavyoendelea kupenda kufanya biashara na nyie bado...So what'ever happened iwe kama vile nimeshayasahau yote and sasa tunaanza upya... The very new Gf!!!
For the people who work for me pia nawapenda and hakuna namna yaani inabidi tuu tuendelee kupendana maana mie ndio boss tena... hahahahaaa, hakuna namna yaani, what matters ni tujipatie pesaaa, ama vepeeee???!!!
Ila my love for you is so pure and very true...
And to my hubby, pole maana yaani malalamiko yooooteee hayo at the end of the day yalikuwa yanamalizikia kwako...hahahahaa, pole mwaya, ila you just don't know how that felt... Kiukweli ilikuwa inanifanya ni'feel relief kubwa sana kukulalamikia yooooteeee na woteee walionikera...
And what i'll forever be greatful ni vile ulivyokuwa unanisikiliza tuu,hata nikiwa na temper as if wewe ndie uliyenikosea still you was listening... And vile unanijua,dah!! exactly yaani all i needed was a hug and uniambie everything will be owky... Yaani hapo nilikuwa najiona nimetua bongeee la mzigo...hahahaha!!
You are the best mume ever, and you were right ''we are Team-each'other'' so you always got my back...
Hata pale niliposhindwa kukuadithia yaliyonisibu maana ni mengiiii hadi nilitamani kulia but in your arms nimepata comfort always... Asante mume wangu, Mungu akubariki na akuweke miaka yoteeeee nitakayokuwepo duniani!!!
Lastly to all my friends...
Kwa wale marafiki ambao still wapo kwenye ramani ya maisha yangu naomba niwaambie kuwa nawapenda, no matter how often we get in touch mjue you are always in my heart...Na pia naogopa kuwapoteza... Maana you all means a lot to me, sitamani maisha without you all in it...
Na kwa wale marafiki ambao hawapo katika ramani ya maisha yangu pia nawapenda, and since we dont even catch-up basi mjue tuu kuwa i am still living my life to the fullest even without you in it... Ila as seriously as i love making new friends pia i love bringing back the old ones...ila mrudi kwa adabu, heshima na taadhima pamoja na kuzingatia vigezo vyote... Hahahahaaa, natania banaaa...kiukweli i would love to have you all back as my friends maana I am a Diva, and Divas don't hold grudges... And nime'miss umbea-umbea, hahahahahaaa...since mostly of my x-friends ndio walikuwa wambeazzzzz to the maxmum... Ukiwa mmbea ujue pia kusutwa sunnah... So ukisutwa you chill kidogo, forgive yourself and go make-peace to your friends then urafiki unaendelea... Ama neneee??!!!
Hiyo ni Tip of being m'mbea nimewapa... I have done that too and it's the besttttt way of keeping friends... Urafiki bila umbea haunogiiiii...so umbea ukizidi ukubaliane tuu na msuto, then life goes on if kwanza ukiamua kujisameheee kwa umbea wako, then make-peace....life linaendeleaaaaa alafu mie apo sasa ndio nakuona mjanjaaaa, kamandaaa, unakomaaa ki'kike!!!! Huo mchezo hauitaji hasira...
Hahahahaaaa... Aya wapendwa sasa na huo ndio mwisho wa story ya maisha yangu kwa siku chache hizi zilizopita...
Nawapenda mnooo!!! Endeleeni kunipa oda za vinywaji za kwenye masherehe na karibuni sana GF DEPOTS....
The diva...
Kiss to you all...
Working-mood...
With my tiresome-face...lol #WorkedOnSunday
#NimetumwaPesaaaa
In Chagga's voice... Hahahahahahaa
In Chagga's voice... Hahahahahahaa
Mungu ni wetu sote....
XOXO!!
No comments:
Post a Comment