Hi all,
Thank you God it's Fridayyyyy.... 
And here comes me in minyoosho flani iviii very amazing!!! Hahahaha... Enjoy my tano-kichwa look... #FBF
 
 
My tano-kichwa on fleek... 
 
 
Nywele safiiii... Ngozi ya kichwa on point!!! 
#KamaShombeShombe 
 
 
 Aaaaw... kama ze studentiiii wallah!!!

 I love me some more....

Never try this hair-style kama huna uhakika na kichwa chako, uso wako na nywele zako... Hahahaa, seriously!!!
This style is for those confident divas only!!!! and i am one of them... 
 
 
Week-end njema wapenzi... 
XOXO!!! 
 
 
  
 
No comments:
Post a Comment