PUNGUZA MANYAMA UZEMBE....

NO MORE MANYAMA UZEMBE!!!!!!!!
*****KWA DAWA ZA KUPUNGUZA TUMBO NA MANYAMA UZEMBE WASILIANA NA FETTY KWA SIMU NAMBA +255 767 728 764*****
Utatumiwa Popote Ulipo, Just call/ WhatsApp Or Sms +255 767 728 764

Matangazo

Kwa Matangazo Wasiliana Nasi Kwa 0753 891 997

Tuesday, July 5, 2016

COZ IT'S TUESDAY.....

Hey my darlings,
This was me some days back... let's call it a Throw Back Tuesday, ama vepeee??!!!
 Mama la mama....
 
Mie...
Me, myself and i...
Mashavu vepeee...
kho khoo khoooo....
 

u'hair on fleek...
 



Love you always....
XOXO!!!

Saturday, July 2, 2016

#PROUD MAMA... THE FINAL PART!!!

Hellow dears,
This is the final part of our series ya bata la kuwapongeza wanangu kwa kufaulu mitihani yao... And ninavyomalizia let me take the opportunity ya kuwatakia masomo mema kwa muhula mpya wa masomo unaoanza Jumatatu ya tarehe 4 July 2016... Mungu wa mbinguni awaongoze na wamalize salama,tena wawe vichwa na kamwe wasiwe mikia in Jesus name... 
My best wishes to all the students and pupils out there too... and to all the mothers who go through it all and made some sacrifice to make sure masomo ya wanao yanakuwa at the best and maisha ya shule yanakuwa marahisi kwa wanao..God bless you all!!!

God bless wa'baba wote pia wanaohakikisha wanao wanapata elimu bora and wanawapa full support wake zao katika malezi ya watoto... 

God bless all the single-parents wanao'play role za ubaba na umama kwa wanao to make sure wanapata mahitaji muhimu na elimu bora!!
**************************
Na sasa let's see about our last place la bataaaa....
It was somewhere in Iringa town, tulienda for a quality-pizza night... 
Excuse the pics are not clear since ilikuwa night and too bad our camera-flash ikazingua... 

I am a very proud mama...
yaani hapo nimeji'post tuu to show my new pochi, i guess i never posted it eeeh??!! Hahahahaaa... #Mwanamke mashauziiiii, haswaaa ukiwa na vya kujishaua navyooo# Ila kiukweli sitamani hata kuji'post maana sio kwa ubonge huo nilionao kwa sasa...about na'reach 100kgs, nimenenepa hadi naonekana mfupiii,lol...i am totaly not proud of this body...i'll work on it nikimaliza ile project yangu ya life time..hahahahahaaa...stay tuned!!!!
 my babies...

 
kaka akimfungulia dada mlango...
 
my sweet-boy...
 
kitu cha pizza...
 
some pics are too dark hadi i can't post them.. ila all in all, we had a great time!! 

Till next time, wacheni sasa nikaendelee na u'busy wangu... ila i'll be coming here mara moja moja so msiwe na wasiwasi mkiona sipo kila siku,mjue tuu nimebanwa...And you are all in my prayers!!!

Nawapenda sana...
 XOXO!! 

Friday, July 1, 2016

#PROUD MAMA... PART FOUR!!

Hi dears,
Here we are again, well and good... And leo tumalizie kale-ka'part tulichokabakiza jana... Ile part ya mambo matamu-matamu!!

Owky guys...
For us celebrations haziwezi kuwa complete without something sweet from Mama T, and wanangu hata uwape cake ya aina gani wataila tuu na kuisahau ila a cake from mama T huwa hawaisahau, yaani wataikumbuka ata baada ya miezi kadhaa.. I guess mama T huwa anawawekea some-secrete ingredient cha kuwa addicted na cakes zake, hahahahaa...just kidding bana... We all know kuwa mama T is the bestttt...na cake zake haziwezi kufananishwa na any cakes in Iringa, they are simply the best!!!!
And kwa hili bataa letu we go for the cup-cakes... yessss, the cup-cakes backed with love from mama T...
Hizi ni za kaka...special for my son, my Fred Jr!!!
Congrats son...
 
F.A.I.T.H.
si mnajua tulikuwa tumejichokea zetu from kuzurura sokoni(mnadani)...so hapo naona hizo cake zilitakiwa ziandike FAITH ila hata hatukuona sie na mauchovu yetu plus mimi na Fred tulikuwa macho mudaaaa tunazitamani ila tunamsubiria Faith aamke ili tule nae... hahahaaaa, tulivyoona haamki aisee uzalendo ukatushinda so tukaenda kumuamsha tuu..
 
 Cup-cakes kwa bed...
She'll get more A's... Inshallah!!
Don't mind her pajamas though... 
**********
sasa hata akilala no worries..hahahahaa!! Ila kwa pembeni paleee naziona bado cakes hazijaisha...

Na mtuwache tulaleeee....
Tunawapenda sana sana wote!!

Keep it here for Proud mama Part five...

XOXO!!!!

NGUVU DRINK

NGUVU = Nguvu Zaidi Ni Spirit Drink INGREDIENTS: Fine spirit, Gin flavour & Ionised water "Not For Sale To Person Under The Age Of 18" P.o.Box 54280, Dar es salaam,Tanzania

NGUVU SPIRIT AVAILABLE AT GF MIN-DEPOT