My best wishes to all the students and pupils out there too... and to all the mothers who go through it all and made some sacrifice to make sure masomo ya wanao yanakuwa at the best and maisha ya shule yanakuwa marahisi kwa wanao..God bless you all!!!
God bless wa'baba wote pia wanaohakikisha wanao wanapata elimu bora and wanawapa full support wake zao katika malezi ya watoto...
God bless all the single-parents wanao'play role za ubaba na umama kwa wanao to make sure wanapata mahitaji muhimu na elimu bora!!
**************************
Na sasa let's see about our last place la bataaaa....**************************
It was somewhere in Iringa town, tulienda for a quality-pizza night...
Excuse the pics are not clear since ilikuwa night and too bad our camera-flash ikazingua...
I am a very proud mama...
yaani hapo nimeji'post tuu to show my new pochi, i guess i never posted it eeeh??!! Hahahahaaa... #Mwanamke mashauziiiii, haswaaa ukiwa na vya kujishaua navyooo# Ila kiukweli sitamani hata kuji'post maana sio kwa ubonge huo nilionao kwa sasa...about na'reach 100kgs, nimenenepa hadi naonekana mfupiii,lol...i am totaly not proud of this body...i'll work on it nikimaliza ile project yangu ya life time..hahahahahaaa...stay tuned!!!!
my babies...
kaka akimfungulia dada mlango...
my sweet-boy...
kitu cha pizza...
some pics are too dark hadi i can't post them.. ila all in all, we had a great time!!
Till next time, wacheni sasa nikaendelee na u'busy wangu... ila i'll be coming here mara moja moja so msiwe na wasiwasi mkiona sipo kila siku,mjue tuu nimebanwa...And you are all in my prayers!!!
Nawapenda sana...
XOXO!!
No comments:
Post a Comment