Jehovah has done me well!!!
I am happy, i am healthy and i am thankful!!
Out of topic...
Before sijaanza na topic ya leo pleassssseeeeee, najua nawakwaza wengine so mnisamehe bure...na wengine nawaburudisha so endeleeni kuwepo... Naomba niseme hiviii... I am too busy making money, Magufuli kasema hapa kazi tuu,mimi kama mimi kiukweli naona uchumi ni mgumu sana kwa sasa and still mie napenda maisha mazuri, vitu vizuri na kula bata... And kwa Mchagga mie hela ya mume ni just a ''BONOUS''
(I am always thankful and greatful for my bonous though, maana inakuwaga bongeee la bonous, hahahaaa)
So i choose kutafuta pesa yangu kuwe kwa moyo mmoja na Mungu awe mbele yangu kwa yote and when it comes to ''my money'' i even find friendship ni luxury ambayo i can't afford...
So dear shoga'uyoga wa mie sio kama nakupotezea na mbwembwe zako za kibibi, ni kwamba nimekuhifadhi tuu kwa muda and i promise you that i'll get back to you maana hapa utachoka wewe, mie ndio kwanzaaaaa na'enjoy hatareee so endelea... Ila when nikikuanzaaaa, niamini mimi kuwa utajuta, yesss you'll surely regret!!! Maana mie matusi siyajui, na kamwe siwezi kukuita kiungo cha mwili chochoteee maana kila kiungo cha mwili for me nakiona kina thamani kubwa sana so nitakuwa nakikosea heshima kukuita wewe jina la kiungo cha mwili etiii kiwe kama ndio tusi lako...Nilishakuambia kuwa wewe tuu ulivyo ni bonge la tusi so siwezi kukutukana mpenzi, all i can do ni ku'describe tuu ulivyo and the rest nakuacha utetemeke na pressure!!! So can't wait for you umalize kunipa majina yoooteee ya viungo vya mwili... Maana vikiisha sijui utaniitaje tena...hahahahaaa!!! And my mamaa taught me well so siwezi kutukana wala kugombana na wakubwa...hapa ni facts tuu ila pressure lazima ikushuke!!!
Ngoja kwanza nitafute pesa then.... Hahahahahaaa!!!!Shogaaaa.... Utaja nielezea kilichomsibu bi.mkubwa hadi akakuachia ''mzigo'' wa kulea kwa matumaini, ''zawadi'' ya kuishi kwa matumaini na ''suprize'' ya kupata haja kubwa once in two weeks... Kiruuuu!!!Ningekuwa nimehadithiwa haya na mtu baki wallahhh vile nisingeyaamini... hahahahaaaa... Hivi wewe ni binadamu wa aina gani atiiiii??? Like seriouslyyyy..a whole week no doing that thing??!! Hahahaa, mie siku mbili tuu na'data...kwani wewe walaga nini?? What do you eat darling??? Dah!!umetisha shoga'angu....
Ila as i said, i am too busy making money... so sina muda now wa drama zako!!! Ngoja nisake pesa kwanza my dear...
Back to the topic sasa....
Finally my other office imeanza ku'operate leo... It's THE NEW GF MIN DEPOT at Kihesa Iringa...So, kwa sasa GF MIN DEPOT ipo na one branch ambayo nayo pia itaenda na the same name ''GF MIN DEPOT" ila hii mpya ipo maeneo ya Kihesa-Iringa, the Dodoma road ama Kihesa sokoni kituo cha daladala maarufu kama kituo cha garage...
Mteja kwetu ni rafiki and msisahau kuwa GF MIN DEPOTS are the best in town!!!!
I am not there yet but definitely i am not where i used to be!!!
Mdogo mdogo tuu nitafika... Taratibu ndio mwendo... Huku pia patajaa na''depot'' nyingine ya tatu itafunguliwa Inshallah!!!
My new office... ''2016th goals''
Karibuni sana wapendwa wa mie... Karibu sana pia my shogaa'uyoga!!!
Mje tupige story za biashara... Mje tupeane ushauri... Mje tuelekezane mambo za kutengeneza pesa... Mje tupeane moyo na changamoto za uchumi...
Maana without you all, mie sio lolote...
Na ndio maana nawapenda sana, zaidi ya sanaaaa wooteee!!!
Yes, Love you all... Love you so very much!!
XOXO...
No comments:
Post a Comment