Wapendwa wa mie hivi mnajua vile nawapenda??!! And nawapenda zaidi pale mnaponichamba eti kisa sija'update blog...Hahahaaa, seriously!!!!???!!!! Jamani you all know kuwa mie i loveee blogging, so mkiona kimya mjue nimebanwa hatareee...
Aya bana, mie nawapenda tuu na vichambo vyenu visivyo na viwango vimenichekeshaaaa... Mmmh, ila to be honest wengine mna vichambo quality hadi moyo ukaniuma kidogo... Duh, sio kwa vichambo hivyoooo!!! Hadi nimetamani niwa'block what'sApp maana kiruuuu.... Mmetishaaa!!!!
Owky, maana kuna vichambo vimenikomesha sasa ngoja niwape full story ili twende sawa... Yaani kama huna muda leo soma nusu then kesho utamalizia maana i am now starting kuwapa mastory... Hahahaaa, msije zimiwa free WiFi ya ofisini maana boss ataona mbona kazi haziendi lakini kila mtu yupo busy na computer... Ama usije mkera mteja kwa kuwa busy na simu kusoma mastory yangu wakati mie now nishafunga hesabu za week, nishatenga mshiko wa kula bata na wanangu on our ka'short vacation this week-end na sasa nipo najipa rahaa on my stress-free zone!!! Yaani ni full mastory hadi kila mtu awe in the mood ya ki'week end week! Ama vepeeee???!!!
#ThanxGodItsFridayyyyy
One thing i must have for a birthday it's a birthday cake... Birthday haiwezi kuwa complete without a ''cake'' tena cake yenye viwango na ubora wa hali ya juu... And for all my needs of quality cakes commandoo wangu ni ''Mama T's cake diva''
Kwa kila birthday we always choose a cake then nampelekea Mama T the ideal, anafanya her magics inatokea kama vile tulivyotaka and even better...
You all remember when i turn 30 eeeh??!! I had an ideal of ''30Years cake look'' and there it was... Faith had an ideal of ''kimdoli cake'' and Mama T akamfanyia yakee... I gave my hubby a ''watch gift'' on his birthday and Mama T akanitengenezea a ''watch cake'' kusindikiza zawadi yangu... Guys, she is the besttttttt!!!! Hapo nawaelezea tuu what she is capable of making, bado sijawaelezea ladha...Kiruuuuu!!!! Cake zake ni tamuuuu na zinachambuka yaani ukianza kuila huikinai, niaminini mie... that woman's hand are noumer katika ku'bake cakes for real...
And one of the verrryyyy best cake ever was my son's graduation cake... Dah!!!That cake was the veryyyy best of all the cakes everrrr, can you imagine a ''two-books cake'' plus kakofia on it...and ladha on point!!! Sikutaka tuu kuwarusha roho kuwa on that graduation yaani Fred ndiye alikuwa na the best cake, na kila mtoto alikuwa anakuja kuishangaa na kuisifia...bado wazazi kibao kila mtu ananiuliza ''where did you get the cake'' waalimu ndio kabisaaa wakataka na number za simu za aliyetengeneza cake ili awe anawatengenezea na wao...(Good thing baadhi ya walimu ni die-hard fans wa hii blog, so mnajua what naelezea) The cake ilikuwa funiko hatareeee, yaani hadi Fred alivyorudi shuleni the next day akaniambia ''mama everybody was talking about my cake'' Hahahahaa...
And do not mistake me maana hapa it's not maswala ya ''women supports women'' (maana hata ukiwa mwanamke unafanya vitu havieleweki kamwe siwezi kukusuport my dear) na pia sio maswala ya kupigiana ''promo'' wala sio mambo za ''adverts'' (maana she doesn't even know what i am blogging now,so yeye mwenyewe ata'suprizika atakaposoma) wala hatutafutiani ''kiki'' (maana kila mtu ana kiki zake za kutosha) so wewe waza upendacho kukiwaza ila huu ni ukweli wangu kutoka moyoni, yaani ninachoelezea about the cakes ni ukweli tena ukweli kutoka paradiso!!! And kwa experience yangu ya five years in Iringa sijawahi kuona cake nzuri kama za Mama T, not even nusu ya ubora wa cake zake bado sijaziona... and oooh,yessss jamani she is the best!!!!
Mungu ni mwema sana, amenikuzia kijana wangu... Mwanangu wa kwanza sasa yupo na six years old... Yaani amekuwa ''mkaka'' and amezidi kuwa too caring and the sweetest lil'man ever!! As veryyy handsome as his dad and big part of me..hahahaaa!!!
I feel complete nikiwa nae, sometimes he makes me feel kama namkufuru Mungu maana nikiwa nae i feel like i don't need another baby boy...yaani ananitosheleza kwa kila kitu a baby boy is for... He is a protector, a hero, a keeper, a family-man, a super-man, a loving-brother, too understanding, hard working boy, very intelligent, God-fearing baby boy and everyyyyything i could think of kwa mtoto wa kiume...so when i say he completes me namaanisha with him i need nothing else!!!!
Eeee mwenyezi Mungu baba wa rehema na neema endelea kunitunzia na kunikuzia mtoto wangu huyu, maana unajua vile nampenda...i love him more than life itself!!!
Sasa this time Fred aliniambia since amekuwa mkubwa anataka ajichoree his birthday cake...Yaani achore vile anataka his birthday cake iwe!!
Kwa kweli i was suprised, nilishangaa amewaza nini kwani hadi anataka hadi aichore?? but nikasema owky boy, ebu ichore niione...akasema inakosekana rangi moja ili iwe vile anataka iwe, ambayo ni yellow... Since mpoteza crayons and pencil always ni my shogaa (Faith) so nikamwambia Fred basi nitakununulia rangi nyingine then utanichorea... Too bad nikawa extra busy nikasahau kununua rangi jamani, ila nilivyorudi nikamuelezea kuwa nilibanwa sana (as alivyo very understanding akanielewa and akatoa option) akasema basi mama ni sawa, i will draw a cake and nitapaka rangi nilizonazo then hii ya yellow nitakuelekeza iwekwe wapi na wapi... Nikafurahijeee maana angekuwa ni Faith wallah angenirudisha mjini kununua rangi, so i was like ''sawa mpenzi''...then akaanza kunichorea...
Oooh, It was priceless moment kwa kweli... Me watching him draw the ''love-shaped cake'' Aaaawww....my baby boy!!!
Akaichora mwenyeweee... And i was recording him!! as i love picha so i also got few shots...
A white cake, with light blue things kwa pembeni and katikati iwepo yellow and black...
Priceless...
Alinitoa machozi kwa kweliiii...and nikajizuga kuwa i am not crying my love, i am just too happy and i love your cake... He hugged me and akanikabidhi karatasi lake la mchoro wa cake....
Yaani hapo hapo nikamuelekeza Mama T, tena kwa msisitizo hatareeeeeee... And kwa vile namuamini katika kunipa kile nataka, she was the only one who could bake it...maana that cake was drawn with love, lazima iwe baked with love too...
Ila the reason sikuomba kupunguziwa hii cake ni vile i valued that cake, it was priceless...no money can pay for it yaani...so it deserved all the money!!!nooo kuomba kupunguziwa, by the way prices za Mama T ni very affordable, mie tuu na uchagga wangu namuoneaga all the time, hahahaa!!!
Aya sasa the cake was baked, and the birthday ikawadia... Another blessing pia ikawepo on the same day my mume had to safiri safari ya ghafla ya kikazi, so mama nikawa as 10times busy zaidi that day.. Maana kumuandaa hubby for safari is something i take a lil'bit serious...lazima nihakikishe atakuwa comfortable kwa muda wote huo ambao he'll be away (Wife materials najua hapo mnanielewa eeeh??? Na kwa wale kina shoga-uyoga next time nitawapa kitchen party ''for free'' on how kumuandaa hubby for safari)
But hakikuharibika kitu, hubby alisafiri happily maana ''mama la mama'' i was in control na Fred Jr ali'enjoy birthday yake to the fullest maana shoga'angu wa ukweli was in the control...
And mostly walinifurahisha sana, ingawaje the whole room ya Fred was a mess ila i dontttt care!!!! My babies had fun, that's all matters...
Ingawaje picha sio nyingiiii as ningepiga mie but hizi hizi chache you can tell how happy they both were... Totoz mbili kama million mbili, dah...
Hapo walitenga tuu a piece for mama and ''dada'' then wao wakaifanyia sherehe yoteee iliyobaki... hahahahaaa!!!
Special thanx to my ''dada'' for the meals, she did her best apo na kitu cha chips-viungo na kuku plus source pembeni, just the way Faith loves... hahahaaa...
Yammy....
Bila kusahau matunda...
Favourites fruits za Fred Jr...parachichi na tikiti!!!
Na sasa ndio nimemaliza mastory ya leo...
Asanteni sana woteee mlionizodoa kuwa ni'post picha, wote mliokuwa wapole kusubiria nipate muda wa ku'post na wotee ambao mmepoteza muda wenu ku'enjoy birthday kwa macho!! Hahahahaa... Nawapenda sana!!!
XOXO!!!
No comments:
Post a Comment